Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 3,506
- 2,606
Ni vitu vya kawaida sana kuwapa support vijana ....Urais sio madocoment ya vitu wakati mwingine ni sehemu ya furaha Kwa wengine kutimiza ndoto zao na kuibua chemchem Mpya ya vipaji Kwa Taifa.Ningekua katibu mkuu kiongozi nisingeruhusu hii!!
Ni udhalilishaji wa taasisi ya urais!
Maoni huru ya mlipakodi asiekwepa!!
Kazi ya Nape na waziri wa michezo!Ni vitu vya kawaida sana kuwapa support vijana ....Urais sio madocoment ya vitu wakati mwingine ni sehemu ya furaha Kwa wengine kutimiza ndoto zao na kuibua chemchem Mpya ya vipaji Kwa Taifa.
Tuache kuishi mawazo ya kikoloni.
Elite people in a society set the standards. Are you among them? Possibly NO because it seems that you have no clue about leadership!Who sets standard za this is too low?
This is silly
Hiiiiiiiiiiiiiiii in Magu voice.Watumishi wa mei mosi wanasemaje kwan?
Wewe ni limbukeni kwani hata ulichoandika ni moja kati ya sentensi ambazo wabongo wengi hupenda kuzitumia wanapokuwa hawana hoja!Utakuwa unaongea kwa jazba sanaaa! Jaribu kunywa hapo halafu uendelee kuandika🤔🤐
Mzee upo mambo yetu umestop chupa kuamka na chaiIle awamu tulisema mwendazake anapenda kusifiwa, Ila awamu hii! Aaah! Huyu mama funga kazi!
Mambo ya ajabu kabisaAnaikimbia mei mosi,anashiriki tamasha la harmonize🙄
Tena majuzi kati mashehe walikuwa wanamlaani harmonize....sasa sijui watasema nini....nchi ngumu sana hiiSio UKAFIRI huu?