Rais Samia ashuhudia utiaji wa saini wa hati ya ushirikiano nchini Uganda

Kwamba rais kakurupuka,kafika huko katoa dola kumi kwa malori ya Uganda,hizo arv ni kaisi gani tutanunua!?..madabida alikua anazalisha arv hapa,mzalendo akamtia ndani
Haijaonesha Fursa gani kaileta huku Tz
 
Ni njia ya kuwashawishi kutumia bandari zetu zaidi kwa hiyo sio lazima tupate cash ila tutapata kwenye bandari
 
Uganda hii leo inatuuzia sukari?
Hadi sukari jamani!
Yule msomali Basheee maneno na mipango ukimsikiliza unaweza kusema Tanzania tutalisha dunia nzima kumbe story tu
Mipango sio pesa,kwani wewe ukiacha kulaumu kuna nini cha maana umefanya?

Jiwe alirukaruka weee lakini hadi anajifia hakuna kitu kaacha kwenye sukari zaidi ya hasara za pesa za nssf
 
Usiwe kiazi wewe mburula,kipi Bora ukanunue ARvs India au Uganda?

Pili Ukaagize Sukari Brazil au Uganda?

Tatu Kuhusu ushuru,hapo anatakiwa kutumia bandari na barabara zetu,kwa hiyo tunaongeza ushindani wa bandari yetu which is good na in fact ilitakiwa tufute kabisa huo ushuru..
 
Kwa nn serikali isije na mpango wa kusaidia uzalishaji wa sukari kuongezeka nchini?
Nchi tajiri ni ile inayozalisha sana, tuzalishe tuwauzie wao ndio pato linaongezeka. Tutaendelea kuwa nchi maskini hadi lini?
Huo mpango upo toka zama za Jiwe.Je wakati mpango ukitekelezwa tusimamishe matumizi ya sukari kusubiria mpango? 🤣🤣
 
Kila tunakoenda tunaendelea kupigwa kinoma. Wakenya nao wanatupiga sana sana. Citizen jana limesema Kenya ndiyo wamenufaika zaidi na ufunguaji nchi wetu holela kuliko sisi tulivyonufaika.
Wewe ni mburula na mjinga..
Mdomo.kila mtu anao 😆😆😆😆😆
 
Mkuu kuelewesha vilaza ni Kazi Sana,hao unakauta ni graduates kabisa ila vitu vidogo kama hivi hawaelewi 😬😬
 
Kila tunakoenda tunaendelea kupigwa kinoma. Wakenya nao wanatupiga sana sana. Citizen jana limesema Kenya ndiyo wamenufaika zaidi na ufunguaji nchi wetu holela kuliko sisi tulivyonufaika.
Huu ujinga nenda kamsimulie Mkeo atakuona mume kichwa si ndio unamlisha bwana..

Ujue namba huwa hazidanganyi 👇







 
Daah!! Unaumri gani ndugu, huyu Mzee ndie aliyefanya Watu watembee uchi,na kama walivaa zilikuwa ni nguo za viraka.

Alikuwa hashauriki na Siasa yake aliyotoka nayo mwa Mao.
Hii ni Kipindi, kama kinavyoweza kulikumba taifa lolote ndicho kilicho tokea Tanzania. Toka mwaka 61 mnakula asali na maziwa we unahesabu shida ya 84 na 85 tuu
 
Waganda wamesha tuacha
 
Nakazia tu, Sukari ni dawa wala sio kiburudisho ukitaka kuona watu wanakufa hovyohovyo ikose sukari kwa wiki 1.
 
Kwanza Uganda walishamaliza deni letu la kumuondoa nduli?
 
Ujinga wa kitoto ni kununua pipi wakati pipi zimejaa nyumbani.
Kununua sukari Uganda ni ujinga mwingine wakati tunauwezo wa kuzalisha nyumbani.
Huu ni utoto wa kike.
 
Kama ana mipango mizuri aachane na masuala ya kuagiza vitu Kama sukari. Wezesha viwanda vya hapa, bakhresa kafungua kiwanda bagamoyo. Serikali inapaswa kumpa support 100% ili azalishe zaidi na zaidi na sisi tuuze huko nje
Mwigulu anapenda sana vitu vya kununua kutoka nje. Siamini kama Mwigulu ana basics za Uchumi na Commerce.
 
Ujinga wa kitoto ni kununua pipi wakati pipi zimejaa nyumbani.
Kununua sukari Uganda ni ujinga mwingine wakati tunauwezo wa kuzalisha nyumbani.
Huu ni utoto wa kike.
Hadi sasa wewe umezalisha Tani ngapi za sukari? Au unadhani huko Uganda ni Serikali ya Uganda ndio inazalisha sukari?

Kwanza una habari kwamba Uganda ni wazalishaji wa chuma na bidhaa zake kupita Nchi zote za Afrika?

Tanzania si tuna chuma kimetushinda Sasa Bora Rais alivyokutana na huyu bwanyenye wa Uganda pengine atakuja kuzalisha chuma 👇

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…