mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,477
- 1,725
Tunarudi wakati ule wa tanzania kuitwa kichwa cha mwendawazimu,nchi hii inakwenda kugeuzwa dampo mda si mrefu.Tunanunua sukari Uganda na ARVs aibu Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunarudi wakati ule wa tanzania kuitwa kichwa cha mwendawazimu,nchi hii inakwenda kugeuzwa dampo mda si mrefu.Tunanunua sukari Uganda na ARVs aibu Tanzania
Haijaonesha Fursa gani kaileta huku TzKwamba rais kakurupuka,kafika huko katoa dola kumi kwa malori ya Uganda,hizo arv ni kaisi gani tutanunua!?..madabida alikua anazalisha arv hapa,mzalendo akamtia ndani
Udini umekupa upofuTulikuwa na hali mbaya mbaya kweli kweli labda tumpe credit ya kugombania Uhuru tu.
Ni njia ya kuwashawishi kutumia bandari zetu zaidi kwa hiyo sio lazima tupate cash ila tutapata kwenye bandariNaona hapo tutanunua ARVs toka Uganda, na pia tumewakubalia kupunguza bei ya usafiri kwa lori moja kwa dola 10 za kimarekani.
Wao watatuletea tani elfu 10 za sukari, kwani hiyo sukari watatuletea bure?
Sijaona sisi tulichopata toka kwa hayo mazungumzo, naona waganda wanatupiga sana.
Mipango sio pesa,kwani wewe ukiacha kulaumu kuna nini cha maana umefanya?Uganda hii leo inatuuzia sukari?
Hadi sukari jamani!
Yule msomali Basheee maneno na mipango ukimsikiliza unaweza kusema Tanzania tutalisha dunia nzima kumbe story tu
Usiwe kiazi wewe mburula,kipi Bora ukanunue ARvs India au Uganda?Duh mbona mikataba yote anayenufaika ni uganda!!
Kwanza kapata soko la Arv zake, pili kapata soko la sukari yake, maana yake tunampelekea hela, na tatu tumempunguzia ushuru sasa atalipa kodi ndogo zaidi. Ukisikia kupigwa ndio huku.
Kwaiyo sisi hatuna tunachomuuzia uganda?
Kuwa na akili ndogo ni ulemavu piaUmeona eehh. Halafu tunasafiri na deligation kubwa, tunachoenda kufanya kinawasaidia wale tunaowafuata.
Huo mpango upo toka zama za Jiwe.Je wakati mpango ukitekelezwa tusimamishe matumizi ya sukari kusubiria mpango? 🤣🤣Kwa nn serikali isije na mpango wa kusaidia uzalishaji wa sukari kuongezeka nchini?
Nchi tajiri ni ile inayozalisha sana, tuzalishe tuwauzie wao ndio pato linaongezeka. Tutaendelea kuwa nchi maskini hadi lini?
Wewe ni mburula na mjinga..Kila tunakoenda tunaendelea kupigwa kinoma. Wakenya nao wanatupiga sana sana. Citizen jana limesema Kenya ndiyo wamenufaika zaidi na ufunguaji nchi wetu holela kuliko sisi tulivyonufaika.
Mdomo.kila mtu anao 😆😆😆😆😆Nafahamu kuhusu Kagera, ila huo msongo wa 400kV haiwezi kuwa ni kwa Kagera tu. Ni ujinga
Gesi, makaa ya mawe, mvuke, jotoardhi, upepo, hivi vyote kwa pamoja vinaweza kutupa 6000MW kwa uchache, mahitaji yetu kwasasa yanakaribia 1800MW.
Kwenye hiyo 6000MW jumlisha 1600MW tuliyonayo sasa; Uganda yote, Kenya pia tunawabeba wazima wazima.
Jenga viwanda vya kuzalisha umeme, jenga njia ya kusafirishia umeme mpaka mipakani, wauzie majirani, faida ya kutosha, shirika linakuwa.
Unaenda kuchukua mikopo na misaada kwaajili ya Green city, Usawa wa kijinsia na Madarasa(yanayochangiwa na tozo, kodi na mikopo lakini bado hayaboreki wala kuongezeka)
Mkuu kuelewesha vilaza ni Kazi Sana,hao unakauta ni graduates kabisa ila vitu vidogo kama hivi hawaelewi 😬😬Sisi kwa minajili hii tupo crippled mfano tunashida ya bei ya sukari na upungufu, pia hatuna capacity ya ARVs production au Uganda wanazo in excess kwa hip m7 kamuwin Samia, Pia Samia kawin partly market share ya Kenya kwa Uganda ametradeoff mileage prices or costs apate ongezeko la traffic ya Tanzania to Uganda, punguzo La mileage cost in return tunapata revenue unit kiasi gani, I think here M7 has cornered Samia kwa kumuwin kiakili kwenye negotiations, sidhani kama ilikuwa pre arranged hizo MoU, mhh...mhh..mhh...kula uliwe
Huu ujinga nenda kamsimulie Mkeo atakuona mume kichwa si ndio unamlisha bwana..Kila tunakoenda tunaendelea kupigwa kinoma. Wakenya nao wanatupiga sana sana. Citizen jana limesema Kenya ndiyo wamenufaika zaidi na ufunguaji nchi wetu holela kuliko sisi tulivyonufaika.
Labda hunijui pitia Comment zangu zote tokea nijiunge na jf.Udini umekupa upofu
Hii ni Kipindi, kama kinavyoweza kulikumba taifa lolote ndicho kilicho tokea Tanzania. Toka mwaka 61 mnakula asali na maziwa we unahesabu shida ya 84 na 85 tuuDaah!! Unaumri gani ndugu, huyu Mzee ndie aliyefanya Watu watembee uchi,na kama walivaa zilikuwa ni nguo za viraka.
Alikuwa hashauriki na Siasa yake aliyotoka nayo mwa Mao.
Waganda wamesha tuachaNaona hapo tutanunua ARVs toka Uganda, na pia tumewakubalia kupunguza bei ya usafiri kwa lori moja kwa dola 10 za kimarekani.
Wao watatuletea tani elfu 10 za sukari, kwani hiyo sukari watatuletea bure?
Sijaona sisi tulichopata toka kwa hayo mazungumzo, naona waganda wanatupiga sana.
Wametuacha wapi wakati ni Ldc wa kutupwa.Waganda wamesha tuacha
Nakazia tu, Sukari ni dawa wala sio kiburudisho ukitaka kuona watu wanakufa hovyohovyo ikose sukari kwa wiki 1.Kwa sasa hatuna umeme mpaka hapo tutakapomaliza Bwawa,mikoa ya Kanda ya Ziwa hususani Kagera haijaunganishwa na grid ya Taifa kwa hiyo kuliko kuwasha mitambo ya mafuta ya Sasa Bora kununua umeme kutoka Uganda kwa bei rahisi..Inafanyika hivyo pia kwa umeme kutoka Zambia tunauziwa inatumika Songwe na Rukwa..
Kuhusu Sukari ni kweli Kwa sasa hakuna sukari Tanzania may be mpaka 2025 viwanda vyetu vikianza kuzalisha inavyotakikana..
Songwe watu wanatumia sukari ya Zambia na Malawi hawajui sukari ya Bongo,kwa hiyo usiwe mjinga wa kuhemka wakati hujui kitu.
Mwigulu anapenda sana vitu vya kununua kutoka nje. Siamini kama Mwigulu ana basics za Uchumi na Commerce.Kama ana mipango mizuri aachane na masuala ya kuagiza vitu Kama sukari. Wezesha viwanda vya hapa, bakhresa kafungua kiwanda bagamoyo. Serikali inapaswa kumpa support 100% ili azalishe zaidi na zaidi na sisi tuuze huko nje
Hadi sasa wewe umezalisha Tani ngapi za sukari? Au unadhani huko Uganda ni Serikali ya Uganda ndio inazalisha sukari?Ujinga wa kitoto ni kununua pipi wakati pipi zimejaa nyumbani.
Kununua sukari Uganda ni ujinga mwingine wakati tunauwezo wa kuzalisha nyumbani.
Huu ni utoto wa kike.