Rais Samia asikitishwa sana na Kifo Cha Ndugai. Aomba Watanzania kumuombea kwa Mungu

Zilaaniwe Shahawa chafu za baba yako zilizokuzaa ***** Lucas Mwashambwa
 
Kifo ni kifo tu, acheni drama.
 
Kifo ni kifo tu, acheni drama
 
Huu uzi ngoja ni mtag homeboy mtoto wa upanga Kiranga

Anyway poleni wafiwa,binafsi nlishajuana na ndugai kabla hata hajawa spika

Ova
 
Hahaaa
Aisee
 
Kifo ni kifo tu. Mwambie ajitahidi sana kutokuzua taharuki mitandaoni
 
Apn sio bure kuna kitu hapa kamchezo kao hako
 
Anamsikitikia aliyekufa, hamsikitikii aliye hai lakini akiteseka mahabusu kwa maelekezo ya serikali yake! Binadamu tu viumbe wa ajabu sana na tumejawa na unafiki na ukatili usiomithilika
 
Sijaelewa aisee.juzi si alikuwa anaomba kura kwa wajumbe? Kwamba alitaka ubunge huku ni mgonjwa kiasi Cha kufa gafla? RIP shujaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…