CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Mnafiq mkubwa huyo mkojaniNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amepokea kwa masikitiko Makubwa sana , uchungu mkubwa sana na huzuni kubwa sana juu ya taarifa za kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge letu Tukufu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai Aliyefariki Dunia hii leo.
Ambapo Rais wetu Mpendwa ametoa pole sana kwa familia ,ndugu, jamaa ,marafiki ,chama na wale wote aliowahi kufanya nao kazi wakati wa uhai wake . Pamoja na kuiombea Familia moyo wa subira ,uvumilivu katika wakati huu mgumu na wa majonzi Makubwa sana pamoja na kuomba Mungu aipatie faraja.
Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
Lakini pia Rais wetu Mpendwa kwa unyenyekevu mkubwa sana akaomba Watanzania Kumuombea kwa Mwenyezi Mungu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai ambaye kwa sasa ametangulia mbele za haki na hatunaye tena na hatutakua naye tena wala kuonana naye tena katika Ulimwengu huu tuishio.View attachment 3434141View attachment 3434144
Asituletee taharukiNdugu zangu Watanzania,

Kifo ni kifo tuuu kama vifo vingineeNdugu zangu Watanzania,

Mtanzania mwenzako nani wewe!?Ndugu zangu Watanzania,

Kifo ni kifo tu,wqlijua Tundu Lissu angekufa leo wanakufa waoNdugu zangu Watanzania,

Si ndio maana ya kifo ni kifo tu au!Nyumbu wanajua Lisu na Lema hawatakufa
Embu acha ujinga wako hapa wewe. Nani mpigania haki hapa Nchini zaidi ya Rais Samia anayewapigania watanzania usiku na Mchana?
Wahuni ndani ya ccm unawakua, umemsikia Mwenezi wenu msaafu leoEmbu acha ujinga wako hapa wewe. Nani mpigania haki hapa Nchini zaidi ya Rais Samia anayewapigania watanzania usiku na Mchana?
😂😂😂Embu acha ujinga wako hapa wewe. Nani mpigania haki hapa Nchini zaidi ya Rais Samia anayewapigania watanzania usiku na Mchana?
Na Wewe umebubujikwa na machozi ya Huzuni!Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amepokea kwa masikitiko Makubwa sana , uchungu mkubwa sana na huzuni kubwa sana juu ya taarifa za kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge letu Tukufu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai Aliyefariki Dunia hii leo.
Ambapo Rais wetu Mpendwa ametoa pole sana kwa familia ,ndugu, jamaa ,marafiki ,chama na wale wote aliowahi kufanya nao kazi wakati wa uhai wake . Pamoja na kuiombea Familia moyo wa subira ,uvumilivu katika wakati huu mgumu na wa majonzi Makubwa sana pamoja na kuomba Mungu aipatie faraja.
Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
Lakini pia Rais wetu Mpendwa kwa unyenyekevu mkubwa sana akaomba Watanzania Kumuombea kwa Mwenyezi Mungu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai ambaye kwa sasa ametangulia mbele za haki na hatunaye tena na hatutakua naye tena wala kuonana naye tena katika Ulimwengu huu tuishio.View attachment 3434141View attachment 3434144
Wewe ni nani unayemsemea Samia? Mnafiki sana paka wewe.Ndugu zangu Watanzania,

Mavi.DuhApumzike kwa amani.Atakumbukwa kwa miradi mikubwa ambayo nchi inajivunia ilipitishwa na bunge lake
Huyu ni home boy wa Obey mazee.Huu uzi ngoja ni mtag homeboy mtoto wa upanga Kiranga
Anyway poleni wafiwa,binafsi nlishajuana na ndugai kabla hata hajawa spika
Ova
Tena ya bata.Mavi.