Rais Samia asikitishwa sana na Kifo Cha Ndugai. Aomba Watanzania kumuombea kwa Mungu

Huu uzi ngoja ni mtag homeboy mtoto wa upanga Kiranga

Anyway poleni wafiwa,binafsi nlishajuana na ndugai kabla hata hajawa spika

Ova
Homebay RIP Ndugai.

The great Peter Tosh said "Live clean and let your work be seen:.
 
Samia anawapigania haki kwa kuwaibia maliasili zao na mafisadi wenzie usiku na mchana? Acheni uchawa wenu huyu mama hafai angelitwaliwa yeye badala ya Ndugai😳😳
Kwenda zako huko wewe. Labda wewe ndiye hufai na ujinga wako
 
Anayelia sana msibani....
 
Bwana alito na Bwana ametwaa...
 
Kwanza sio spika mstaafu ni spika aliyestaafishwa baada yakuhoji juu ya deni la Taifa,halafu pili Kifo ni Kifo tu haihitaji hudhuni
 
Mjaa wa laaana ni wewe unashadidia maovu juu ya watu kisa utofauti wa mawazo. Laana unayowewe na Samia. Nimeongea hayo ukifanya ujinga nitakuja kufanyia kitu hutasahau kwasababu na kujua vyema.
Laana Inakusumbua ewe usiye na akili na uliyekosa malezi ya wazazi wako na kushindwa kufundwa adabu. Huna akili kabisa
 
Kweli hii nchi inahitaji kiongozi mwenye busara na unyenyekevu wa kiwango cha juu kurudishia pamoja. Reconciliation ni ya muhimu sana kwa mtu anayelitakia mema Taifa hili. Leo watu wanaweza kubeza kifo cha kiongozi mkubwa, kitu ambacho hakikuwa utamaduni wetu hata kidogo.
Ni imejengwa na watawala kutojali maisha ya watu wengine hasa wakosoaji wao. Tumejikuta tumetengeneza makundi yenye maumivu,uchungu na hasira,hivyo ikitokea mmoja wa watesaji wao akifikwa na jambo la huzuni kwao ni faraja.
Ukweli ni hatari sana kupuuza hali hii. Tumuombe Mungu Rehema na turudi kuheshimu na kujali haki ya wengine kuishi.
 
Nadhani aliyeanzisha huu mtindo ni Dkt Magufuli, alipofariki Agustino Mahiga hakuwenda msibani na aliapisha mwingine kabla hata ya kuzikwa na sijui kama alionesha huzuni. Baada ya hapo mbowe na genge lake walifanya sherehe kifo cha Dkt Magufuli, na ndiyo maana huu mtindo umeshamiri. Mbowe aka kengeza siku akifa naye watu watashangilia
 
Duu
 
Huo ni ujinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…