Rais Samia asikitishwa sana na Kifo Cha Ndugai. Aomba Watanzania kumuombea kwa Mungu

Mnafiki Samia
Anyway Bwana Job Mwenyezi Mungu akuweke mahali unapostahili ukapate hukumu ya Haki.
 
Unafikiri kwa nini walishangilia? Ulitegemea kwa mfano familia ya Ben Saanane au Azory Ngwanda walimlilie Magufuli? Unakumbuka ndege ya aliyekuwa Rais wa Rwanda Gen. Habyalimana alikufa kwenye ajali hiyo, kuna wanyarwanda waliokuwa wakimbizi Tanzania walifanya sherehe, na aliyekuwa waziri Mkuu wa Tanzania enzi hizo Mzee Malecela aliamuru wakamatwe mpaka Mwalimu Nyerere alipomkemea kuwa wewe ulitegemea hawa wanyarwanda walimlilie mtu aliyewafanya waikimbie nchi yao!!
Hivi Tundu Lisu aliyeshambuliwa kwa risasi mchana kweupe akiwa kazini bungeni Dodoma Na akakimbizwa kutibiwa Nairobi akiwa unconscious na baadaye kupelekwa kwa matibabu zaidi Ubeligiji na akiwa kwenye matibabu huyu Spika Ndugai alimnyang'anya ubunge na stahiki zake zote kwa maagizo toka juu,leo unamtarajia amlilie Ndugai!!
Akina Mbowe walioharibiwa Biashara zao na kufungiwa akaunti zao na kufanywa wakimbizi na uliwategemea wamlilie mtesi wao?
Hapa suala kubwa tumefikaje hapa? Umewahi kufikiri kwa nini watu wanakuwa Magadi. Ukweli ugaidi huwa ndio silaha pekee mnyonge anaona anaweza kuitumia na haswa akifikia kuamini hana cha kupoteza. Watawala wa sasa toka Magufuli mpaka hawa wa sasa wamekuwa sababu ya yote. Wamepuuza sana thamani ya uhai wa watu na haswa ikihusu wakosoaji wao. Period.
 
Hivi kaka Lucas ni hatujatangaza siku za maombolezo au mimi sijaona tangazo.
 
Embu acha ujinga wako hapa wewe. Nani mpigania haki hapa Nchini zaidi ya Rais Samia anayewapigania watanzania usiku na Mchana?
Huo usiku na mchana anapigana nn mbona unakuwa muongo sana ww chawa?!.
Huyu ni hamna kitu nchi inaendeshwa tu na wahuni sasa hv!
 
Mzee kibao, Azori gwanda, ben saanane, mdude pumzikeni kwa amani. Huyu alale motoni kifo ni kifo tu.
 
Makubwaa ,alipompinga si.alimla kichwaa sasa anasikitika nini .

Anna way pole Dr Fatma Mganga Mjane wa hayati Job Ndugai
 
HUYU SI NDIE ALIMCHAPAGA DIWANI FIMBO MBELE YA MKEWE
 
Kwa nini amesikitishwa?
 
Ccm WAGOMBEA Mungu... Upinzani hatuna pa kuombea makanisa / kanisa letu mmelifunga pale ubungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…