Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Mmh! Vikao vya ndani kwa sababu gani? Bila kuwa kwenye vikao vya ndani hao maofisa huwa hawaelewi ama ni nini?Ukisikiliza hii clip utaona kuna mambo mengi yaliyozungumzwa yalipaswa kuwa katika vikao vya ndani na ma ofisa.
Halafu watu wengine wanacheka tu,ndiyomaana Sirro alikua anamtolea shit,mengine unawaambia maofisa tu,kazi inaisha.Ukisikiliza hii clip utaona kuna mambo mengi yaliyozungumzwa yalipaswa kuwa katika vikao vya ndani na ma ofisa.
Huyu mama nae aache siasa katika fani za watu
Mshitakiwa akiwa nje upelelezi unakuwa mgumu maana atakuwa na uwezo wa kuziba mianya yote muhimu katika kufanya upelelezi
Inawezekana hujaelewa. Kinachosemwa ni kuwa at least kuwe na evidence. Watu wengi wanakamatwa tu bila ushahidi wowote wanawekwa tu ndani wanapotezewa muda kisha wanaachiwa bila kupelekwa mahakamani.Huyu mama nae aache siasa katika fani za watu
Mshitakiwa akiwa nje upelelezi unakuwa mgumu maana atakuwa na uwezo wa kuziba mianya yote muhimu katika kufanya upelelezi
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Sio huyu Mama,sio mama yako ni mh.RaisHuyu mama nae aache siasa katika fani za watu
Mshitakiwa akiwa nje upelelezi unakuwa mgumu maana atakuwa na uwezo wa kuziba mianya yote muhimu katika kufanya upelelezi
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Uko sahihi, Mwendazake aliwahi sema hilo la Mazao lakini watu walitozwa kama Kawa na wanakutoza huku wakikwambia mfuate Ikulu ukamwambie au acha mazo yako hapa msubirie aje akulipie ππBila executive order na kuitangaza kwenye gazeti la serikali au kubadilisha PGO - anachofanya kwa βkupiga marufukuβ haina tofauti na wale wanazuia ushuru wa mazao huku barabara zote zina vizuizi wakisisitiza kukusanya ushuru kwa sababu halmashauri haijaondoa agizo hilo la kisheria!!
Kama kweli anakusudia kumaliza uonevu huu - atoe executive order au waziri wa mambo ya ndani apeleke mswada Bungeni ili iwe sheria baada ya Rais kuisaini.
Otherwise kilichofanyika hapa kutoa maneno yanayoonesha huruma tu. Amri ya Rais sio maneno tu jukwaani, kisheria!!
Sheria itachukua mkondo wake
Amesema nani ahakiki Hilo utimizwa? Au ni polisi kujiangalia menyewe kwa menyewe tu?Nawasalimu kwa JMT..
Mnyonge hanyongwi na haki anapewa..
Rais SSH kwa mara nyingine amesisitiza kwa Polisi kwamba ni Marufuku kumuweka mtu ndani yaani Mahabusu Kama Upelelezi Haujakamikika..
Hii ni mara ya pili anaongea jambo hili na ameshaliweka kwenye sheria za Polisi..
Ni nadra Sana hapa Duniani kupata Kiongozi anayejali haki,wengi wa waliopo kwenye jamii mnajua ni makatili kama wale waliopita..
Hapa Chadomo hutowakuta ila angekuwa ka tweet yule Rais wa Twitter kutoka Zambia wangeshajaza nyuzi ππ..
Asante Sana Rais Samia π
Unaandika huku unaiwaza CHADEMA !!Nawasalimu kwa JMT..
Mnyonge hanyongwi na haki anapewa..
Rais SSH kwa mara nyingine amesisitiza kwa Polisi kwamba ni Marufuku kumuweka mtu ndani yaani Mahabusu Kama Upelelezi Haujakamikika..
Hii ni mara ya pili anaongea jambo hili na ameshaliweka kwenye sheria za Polisi..
Ni nadra Sana hapa Duniani kupata Kiongozi anayejali haki,wengi wa waliopo kwenye jamii mnajua ni makatili kama wale waliopita..
Hapa Chadomo hutowakuta ila angekuwa ka tweet yule Rais wa Twitter kutoka Zambia wangeshajaza nyuzi [emoji2][emoji2]..
Asante Sana Rais Samia [emoji116]
Siokweli......Huyu mama nae aache siasa katika fani za watu
Mshitakiwa akiwa nje upelelezi unakuwa mgumu maana atakuwa na uwezo wa kuziba mianya yote muhimu katika kufanya upelelezi
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Ndugu yangu inawezekana labda kule CCP siku hizi, pengine somo la GPO halifundishwi ipasavyo na ndo maana unakuta matatizo mengi ktk utendaji wa polisi huwa yanaanzia hapo ..... kazi kwelikweli...Sasa kama polisi wanaweka mtu ndani bila kosa lolote, watafuatilia hilo kweli. Shida nyingine ni kua PT wengi (asilimia kubwa) hawajui sheria na wala hawataki kujifunza sheria walau kidogo.
Rais hahitaji kusisitiza. Anahitaji kuchukua hatua kwa Mtanzania mwajiriwa wake ambaye hafuati maagizo yake. Msaidieni Rais wetu atimize wajibu wake.Nawasalimu kwa JMT..