Rais Samia: Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare za harusi?

Hivi kichwa kinafaa pia kupunguziwa majukumu eti? Tufanye tufuge nywele tu pengine maana mengine yametushinda
 

SGR yote ilikuwa na bajeti ya $ 10 billion. Hata nusu hawajafika tayari wameshakopa billion 30. By the way, hii ya Kukopa ili kuipendezesha Dodoma na Dar... Haaingii akilini...!!
 
Soko la mbuyuni,huko mosho.Mjini,limejenga kwa Tsh 200 millions.πŸ˜•
 

Attachments

  • VID-20250130-WA0048.mp4
    6.8 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…