Rais Samia ataenda tena kujitambulisha wapi? Sijasikia akizindua hata mradi mmoja

Mama Samia we piga kazi, kama ulivyosema hutoangalia chama katika teuzi ilimradi mtu awe timamu kichwani utamteua, Fanya mpango utuache na katiba mpya hawa mataga hawakutakii mema mama.
 
Bado ana safari ya kwenda kujipendekeza kwa wazungu Brussels ( EU), London UK na Washington USA, hapa hatuna Rais, tuna pambo tu.
 
We MUSIBA na BASHITE inatakiwa mshughulikiwe haraka kenge nyinyi
 
Bado ana safari ya kwenda kujipendekeza kwa wazungu Brussels ( EU), London UK na Washington USA, hapa hatuna Rais, tuna pambo tu.
Kalifufueni lile limzoga lenu kule chata sijui muendelee kuliabudu mbwa nyinyi
 
Wacha nyumba iungue,, mara paa uchaguzi huu umefika itakuwa nderemo kwa wapinzani
 
Unataka azindue miradi mara mbilimbili kama alivyotufanyia mwendazake?
 
Nyie mataga ni lini mtakubali kuwa mzee pombe is no more?
 
Nafikri kabla ya Idd el Fitr ataenda Comoro.
 
2025 chadema jipange kuchukua nchi, na siyo utopolo wa kitawala tunao shuhudia sasa

~baba kafa, mama anaenda kudanga hovyo hovyo~
 
Inashangaza ni kwa nini Rais anakimbizana kujitambulisha kwa majirani, yaani utii wake upo kwa majirani na siyo kwa mwenye nyumba, watanzania waliompangisha Ikulu yao.
hii nchi ina watu wapumbavu sana, kuna mtu yeye aliharibu mahusiano na mataifa mengine utadhani hii dunia ni yetu, akawa yupo bize na mavieite kwenda kuzindua hadi mashamba ya miti mkamponda kwamba hana kazi ya kufanya hadi anatafuta kiki kwenye kazi ambazo zingefanywa na wasaidizi wake. Leo amekuja rais ambae mambo madogo ameamua kuachia wasaidizi wake yeye aanze na kurejesha mahusiano mazuri na nji rafiki bado hamridhiki, stupid kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…