Rais Samia ataenda tena kujitambulisha wapi? Sijasikia akizindua hata mradi mmoja

haya mambo ya kujifungia ndani miaka iliyopita hayakufanikiwa ktk maendeleo ya biashara

Mama amealikwa rasmi Kenya , ziara imeleta mafanikio makubwa watu wa kaskazini wanategemea kenya kama soko la biashara zao mfano mazao hata biashara ya utalii, sasa watalii wa Ulaya na America watatoka Kenya kuja Arusha, Manyara na moshi nchi itapata Ela watu watapata ajira.

Miaka michache iliyopita nchi ilipata soko la choroko, kunde , nk watu wakalima gafla soko likayeyuka kilo ikafika 400/ 300 watu walikata tamaa nguvu zikapotea

Diplomasia ya uchumi sasahivi Ndio inafanya kazi hata wazungu na waasia wanafanya hivyo
 
Akiwa nchini Kenya, Rais Samia alieleza kuwa nia ya kuizuru Kenya mapema sana ilikuwa kujitambulisha kwa majirani kwa kuwa alikuwa "mpangaji mpya"!

Leo akizungumza na wanaoitwa "wazee wa Dar es Salaam" amekariri tena ya kuwa ataendelea kuzuru nchi mbalimbali akitoa sababu ileile ya "kujitambulisha kwa majirani" akiwa ni "mpangaji mpya"!

Kiongozi mzalendo anawajibika kueleza manufaa ya kila anachonuia kufanya. Inashangaza ni kwa nini Rais anakimbizana kujitambulisha kwa majirani, yaani utii wake upo kwa majirani na siyo kwa mwenye nyumba, watanzania waliompangisha Ikulu yao.

KWA kuwa mwenye nyumba anayo madhara ikiwa ni pamoja na kutompangisha tena, nilitegemea angeweka kipaumbele kuwazuru wananchi kwanza ndipo aanze kupepea iwapo kuna manufaa ya umma katika kupepea.

Nawasalimu kwa jina la Mwenyezi Mungu aliyeumba Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Kazi Iendelee [emoji1241][emoji1241]
We pro- mgufool, Kwa siku kadhaa sasa, umekuwa ukiandika threads nyingi ziziso na tija against SASHA. Sasa nchi inaendeshwa kwa misingi ya haki, ujirani mwema na ushrikiano wa kikanda na kimataifa. Acha mama akasafishe maji ambayo mtangulizi wake aliyachafua. Mumezoea kulishwa maneno ya propaganda za Magu na nyie mkaamini, eti uchumi wetu unakuwa kwa kasi na ni wa pili kwa ukuaji africa, kumbe ulikuwa unasinyaa from 6.9% to 4%
 
Akiwa nchini Kenya, Rais Samia alieleza kuwa nia ya kuizuru Kenya mapema sana ilikuwa kujitambulisha kwa majirani kwa kuwa alikuwa "mpangaji mpya"!

Leo akizungumza na wanaoitwa "wazee wa Dar es Salaam" amekariri tena ya kuwa ataendelea kuzuru nchi mbalimbali akitoa sababu ileile ya "kujitambulisha kwa majirani" akiwa ni "mpangaji mpya"!

Kiongozi mzalendo anawajibika kueleza manufaa ya kila anachonuia kufanya. Inashangaza ni kwa nini Rais anakimbizana kujitambulisha kwa majirani, yaani utii wake upo kwa majirani na siyo kwa mwenye nyumba, watanzania waliompangisha Ikulu yao.

KWA kuwa mwenye nyumba anayo madhara ikiwa ni pamoja na kutompangisha tena, nilitegemea angeweka kipaumbele kuwazuru wananchi kwanza ndipo aanze kupepea iwapo kuna manufaa ya umma katika kupepea.

Nawasalimu kwa jina la Mwenyezi Mungu aliyeumba Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿
Tuliza ngera jombaa, muache Rais afanye kazi yake, au aliekua bora ni wa kabla yake nini
 
Bado ana safari ya kwenda kujipendekeza kwa wazungu Brussels ( EU), London UK na Washington USA, hapa hatuna Rais, tuna pambo tu.
Kwa akili yako Rais, ni yule wa kuongea kwa kufoka foka, kuita nchi wahisani, wawekezaji na wadau wa maendeleo kuwa mabeberu na kuharibu diplomasia? Uko wapi usitawi wa nchi na nafuu kwa watanzania kwa kipindi mwendazake alichokaa madarakani zaidi ya propaganda, ukandamizaji, utekaji, kudorora kwa uchumi na kuongezeka kwa deni la taifa kutoka Tr32 (2015) to Tr71 (2021)
 
Akiwa nchini Kenya, Rais Samia alieleza kuwa nia ya kuizuru Kenya mapema sana ilikuwa kujitambulisha kwa majirani kwa kuwa alikuwa "mpangaji mpya"!

Leo akizungumza na wanaoitwa "wazee wa Dar es Salaam" amekariri tena ya kuwa ataendelea kuzuru nchi mbalimbali akitoa sababu ileile ya "kujitambulisha kwa majirani" akiwa ni "mpangaji mpya"!

Kiongozi mzalendo anawajibika kueleza manufaa ya kila anachonuia kufanya. Inashangaza ni kwa nini Rais anakimbizana kujitambulisha kwa majirani, yaani utii wake upo kwa majirani na siyo kwa mwenye nyumba, watanzania waliompangisha Ikulu yao.

KWA kuwa mwenye nyumba anayo madhara ikiwa ni pamoja na kutompangisha tena, nilitegemea angeweka kipaumbele kuwazuru wananchi kwanza ndipo aanze kupepea iwapo kuna manufaa ya umma katika kupepea.

Nawasalimu kwa jina la Mwenyezi Mungu aliyeumba Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Kazi Iendelee [emoji1241][emoji1241]
Mnalinda LEGACY eeeh? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
hii nchi ina watu wapumbavu sana, kuna mtu yeye aliharibu mahusiano na mataifa mengine utadhani hii dunia ni yetu, akawa yupo bize na mavieite kwenda kuzindua hadi mashamba ya miti mkamponda kwamba hana kazi ya kufanya hadi anatafuta kiki kwenye kazi ambazo zingefanywa na wasaidizi wake. Leo amekuja rais ambae mambo madogo ameamua kuachia wasaidizi wake yeye aanze na kurejesha mahusiano mazuri na nji rafiki bado hamridhiki, stupid kabisa.
Mkuu hilo ni taga la chato, rejea threads zake zote za tangu mwenda zake afukiwe rasmi limekuwa likianzisha nyuzi nyingi kumponda SASHA
 
Wacha nyumba iungue,, mara paa uchaguzi huu umefika itakuwa nderemo kwa wapinzani
Hata wapinzani ni Watanzania, atakayeshi yoyote yule bora iwe kihalali ni sawa tu.
Mambo ya kubaka demokrasia yasijirudie tena, mama ameanza vizuri kwa kauli zinazoashiria direction ya dialogue ni vizuri kumsapoti.

Bora siasa za misifa ya kijinga ya mtu mmoja kujivisha umungu mtu, kukandamiza, kutisha, kuonea, kudhulumu na hata kuua huku akijifika kwenye kivuli chake cha uzalendo uchwara zimepita na kaharufu ka uhuru kanaaza kunukia.

Lile likoloni jeusi halipo tena, furaha na amani vimerejea.
 
... waambie hivi "Mama Samia na Hayati ni kitu kimoja"! Wataruka na kukanyagana kwa nderemo hao! Hebu akina Kipanya mtuchoree katuni za Mama Samia na hayati kuwa kitu kimoja; will be the best cartoon ever!
😀😀😀😀😀
 
Akiwa nchini Kenya, Rais Samia alieleza kuwa nia ya kuizuru Kenya mapema sana ilikuwa kujitambulisha kwa majirani kwa kuwa alikuwa "mpangaji mpya"!

Leo akizungumza na wanaoitwa "wazee wa Dar es Salaam" amekariri tena ya kuwa ataendelea kuzuru nchi mbalimbali akitoa sababu ileile ya "kujitambulisha kwa majirani" akiwa ni "mpangaji mpya"!

Kiongozi mzalendo anawajibika kueleza manufaa ya kila anachonuia kufanya. Inashangaza ni kwa nini Rais anakimbizana kujitambulisha kwa majirani, yaani utii wake upo kwa majirani na siyo kwa mwenye nyumba, watanzania waliompangisha Ikulu yao.

KWA kuwa mwenye nyumba anayo madhara ikiwa ni pamoja na kutompangisha tena, nilitegemea angeweka kipaumbele kuwazuru wananchi kwanza ndipo aanze kupepea iwapo kuna manufaa ya umma katika kupepea.

Nawasalimu kwa jina la Mwenyezi Mungu aliyeumba Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿
Nanihii zako na za mwendazake hazina tofauti,ndugu yako alikuwa hajui hata majirani zake wanafananaje,kazi yake ilikuwa imebaki kubaka haki zetu tu na kuvutahia maumivu yetu.
 
Back
Top Bottom