Rais Samia ataenda tena kujitambulisha wapi? Sijasikia akizindua hata mradi mmoja

Wewe ni mwa
Wewe ni mwanachama wa magufuli na sio ccm. Chama chako cha chato/sukuma party kilishakufa jitahidi usahau enzi zile.
 
Mpenzi heshima Mama.
Kwenda zake alikuwa anazindua hadi vyoo.
 
Kuna haja ya mzazi kuzuru nyumba yake wakati daily mnamuona humo ndani ya nyumba?
 
Uwanja kuvutia watalii?,Magufuri alikuwa mtu wa ajabu sana.
 
Yeye hana mambo hayo, amekuachieni washamba myafanye.
 
Pote atakapoalikwa maana miradi bado ipo kwenye hatua za mwisho mwisho mwanzo mwanzo atazindua tu
 
Kimpango wako, WWE kaa hapo ukipiga Domo mama anaendesha nchi bila wasi wasi Wala presha,
Kama yule mshamba alikuwa anaogopa kutoka nje ya nchi kwa ushamba wake au kwa kuhofia kupinduliwa sijui kuibiwa hiyo ni juu yake, hii ni awamu nyingine usipangie watu Cha kufanya
 
Let's give her the benefit of the doubts.

Mjue mama hakujiandaa kuwa raisi, japo kikatiba alitakiwa kujiandaa. It's not easy though she's got to cherish nafasi aliyoipata.
 
Matatizo ya kuishi kwa mzoea. Mwenda zake alikuwa anazindua mpaka miradi iliyozinduliwa awamu ya JK. Kama vile Mwendo kasi na baadhi ya barara mradi tu ionekane yuko busy.
 
Hii nchi iliharibiwa sana na mtangulizi wake, alijenga uadui wa ndani na nje kwa gia ya uzalendo, nchi ilikua inaingia shimoni hivyo ni wajibu wa mama yetu kuturejesha katika mstari wa heshima.
 
Huyo shortiii ni tatizo lingine kubwa tena....bingwa ropoka na mapambio...najua ana hali mbaya sana awamu 5 yeye ndio MD wa Tanesco yaani kimbelembele mnoooo sasa bado kupewa kesi yake moja asubiri tu
 
Sidhani kama unaelewa ni kwanini Mama Mulamula amepewa wizara ya mambo ya nje. Hakuna nchi inayoweza kuishi kama kisiwa. Tunaweza kuwa tumejaliwa rasilimali za kila aina lakini namna ya kuzitumia na elimu ya kumiliki sayansi yenye umuhimu ya uzalishaji, ni ndogo sana kwa upande wetu.

Huko nje yanatafutwa maslahi yatakayogusa moja kwa moja maisha ya hao wananchi wa kawaida wa Tanzania.

Huyu Mama Samia usitegemee kuuona msafara wake ukiwa unasimama njiani mara kwa mara. Tatizo letu ni kukariri kwamba kwa sababu JPM alikuwa ana tabia fulani basi na huyu ni lazima afuate njia zile zile kisa kasema kwamba yeye na Hayati ni kitu kimoja!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ