Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Afadhali angekua mmama, tungesema wanagombea ‘chombo’! Huyu ni naambiwa ni yule mwenye vijarida ‘chafuzi’ vya kuchafua viongozi!Wewe mama utakuwa na matatizo.
Aidha ni single mother au mumeo hakufikishi.
Sio kwa kuwashwawashwa huku.
We pro- mgufool, Kwa siku kadhaa sasa, umekuwa ukiandika threads nyingi ziziso na tija against SASHA. Sasa nchi inaendeshwa kwa misingi ya haki, ujirani mwema na ushrikiano wa kikanda na kimataifa. Acha mama akasafishe maji ambayo mtangulizi wake aliyachafua. Mumezoea kulishwa maneno ya propaganda za Magu na nyie mkaamini, eti uchumi wetu unakuwa kwa kasi na ni wa pili kwa ukuaji africa, kumbe ulikuwa unasinyaa from 6.9% to 4%Akiwa nchini Kenya, Rais Samia alieleza kuwa nia ya kuizuru Kenya mapema sana ilikuwa kujitambulisha kwa majirani kwa kuwa alikuwa "mpangaji mpya"!
Leo akizungumza na wanaoitwa "wazee wa Dar es Salaam" amekariri tena ya kuwa ataendelea kuzuru nchi mbalimbali akitoa sababu ileile ya "kujitambulisha kwa majirani" akiwa ni "mpangaji mpya"!
Kiongozi mzalendo anawajibika kueleza manufaa ya kila anachonuia kufanya. Inashangaza ni kwa nini Rais anakimbizana kujitambulisha kwa majirani, yaani utii wake upo kwa majirani na siyo kwa mwenye nyumba, watanzania waliompangisha Ikulu yao.
KWA kuwa mwenye nyumba anayo madhara ikiwa ni pamoja na kutompangisha tena, nilitegemea angeweka kipaumbele kuwazuru wananchi kwanza ndipo aanze kupepea iwapo kuna manufaa ya umma katika kupepea.
Nawasalimu kwa jina la Mwenyezi Mungu aliyeumba Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kazi Iendelee [emoji1241][emoji1241]
Tuliza ngera jombaa, muache Rais afanye kazi yake, au aliekua bora ni wa kabla yake niniAkiwa nchini Kenya, Rais Samia alieleza kuwa nia ya kuizuru Kenya mapema sana ilikuwa kujitambulisha kwa majirani kwa kuwa alikuwa "mpangaji mpya"!
Leo akizungumza na wanaoitwa "wazee wa Dar es Salaam" amekariri tena ya kuwa ataendelea kuzuru nchi mbalimbali akitoa sababu ileile ya "kujitambulisha kwa majirani" akiwa ni "mpangaji mpya"!
Kiongozi mzalendo anawajibika kueleza manufaa ya kila anachonuia kufanya. Inashangaza ni kwa nini Rais anakimbizana kujitambulisha kwa majirani, yaani utii wake upo kwa majirani na siyo kwa mwenye nyumba, watanzania waliompangisha Ikulu yao.
KWA kuwa mwenye nyumba anayo madhara ikiwa ni pamoja na kutompangisha tena, nilitegemea angeweka kipaumbele kuwazuru wananchi kwanza ndipo aanze kupepea iwapo kuna manufaa ya umma katika kupepea.
Nawasalimu kwa jina la Mwenyezi Mungu aliyeumba Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿
Kwa akili yako Rais, ni yule wa kuongea kwa kufoka foka, kuita nchi wahisani, wawekezaji na wadau wa maendeleo kuwa mabeberu na kuharibu diplomasia? Uko wapi usitawi wa nchi na nafuu kwa watanzania kwa kipindi mwendazake alichokaa madarakani zaidi ya propaganda, ukandamizaji, utekaji, kudorora kwa uchumi na kuongezeka kwa deni la taifa kutoka Tr32 (2015) to Tr71 (2021)Bado ana safari ya kwenda kujipendekeza kwa wazungu Brussels ( EU), London UK na Washington USA, hapa hatuna Rais, tuna pambo tu.
😁 😁 😁Wewe mama utakuwa na matatizo.
Aidha ni single mother au mumeo hakufikishi.
Sio kwa kuwashwawashwa huku.
Mnalinda LEGACY eeeh? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Akiwa nchini Kenya, Rais Samia alieleza kuwa nia ya kuizuru Kenya mapema sana ilikuwa kujitambulisha kwa majirani kwa kuwa alikuwa "mpangaji mpya"!
Leo akizungumza na wanaoitwa "wazee wa Dar es Salaam" amekariri tena ya kuwa ataendelea kuzuru nchi mbalimbali akitoa sababu ileile ya "kujitambulisha kwa majirani" akiwa ni "mpangaji mpya"!
Kiongozi mzalendo anawajibika kueleza manufaa ya kila anachonuia kufanya. Inashangaza ni kwa nini Rais anakimbizana kujitambulisha kwa majirani, yaani utii wake upo kwa majirani na siyo kwa mwenye nyumba, watanzania waliompangisha Ikulu yao.
KWA kuwa mwenye nyumba anayo madhara ikiwa ni pamoja na kutompangisha tena, nilitegemea angeweka kipaumbele kuwazuru wananchi kwanza ndipo aanze kupepea iwapo kuna manufaa ya umma katika kupepea.
Nawasalimu kwa jina la Mwenyezi Mungu aliyeumba Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kazi Iendelee [emoji1241][emoji1241]
Wanalinda legacy [emoji3][emoji3]MATAGA Mungu awape wepesi popote mnapotesekea. Hali yenu ni mbaya sana mnatia huruma sana.
Mkuu hilo ni taga la chato, rejea threads zake zote za tangu mwenda zake afukiwe rasmi limekuwa likianzisha nyuzi nyingi kumponda SASHAhii nchi ina watu wapumbavu sana, kuna mtu yeye aliharibu mahusiano na mataifa mengine utadhani hii dunia ni yetu, akawa yupo bize na mavieite kwenda kuzindua hadi mashamba ya miti mkamponda kwamba hana kazi ya kufanya hadi anatafuta kiki kwenye kazi ambazo zingefanywa na wasaidizi wake. Leo amekuja rais ambae mambo madogo ameamua kuachia wasaidizi wake yeye aanze na kurejesha mahusiano mazuri na nji rafiki bado hamridhiki, stupid kabisa.
Kamfufue aje azindue mradiwatazindua nini wakati hawana hela
Na mama hataki kafake miasha (kuzindua vilivyokwisha kuzinduliwa) kama ilivyokuwa kwa mwenda zake.watazindua nini wakati hawana hela
Kamfufue aje azindue mradiwatazindua nini wakati hawana hela
Hata wapinzani ni Watanzania, atakayeshi yoyote yule bora iwe kihalali ni sawa tu.Wacha nyumba iungue,, mara paa uchaguzi huu umefika itakuwa nderemo kwa wapinzani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]MATAGA Mungu awape wepesi popote mnapotesekea. Hali yenu ni mbaya sana mnatia huruma sana.
😀😀😀😀😀... waambie hivi "Mama Samia na Hayati ni kitu kimoja"! Wataruka na kukanyagana kwa nderemo hao! Hebu akina Kipanya mtuchoree katuni za Mama Samia na hayati kuwa kitu kimoja; will be the best cartoon ever!
Nanihii zako na za mwendazake hazina tofauti,ndugu yako alikuwa hajui hata majirani zake wanafananaje,kazi yake ilikuwa imebaki kubaka haki zetu tu na kuvutahia maumivu yetu.Akiwa nchini Kenya, Rais Samia alieleza kuwa nia ya kuizuru Kenya mapema sana ilikuwa kujitambulisha kwa majirani kwa kuwa alikuwa "mpangaji mpya"!
Leo akizungumza na wanaoitwa "wazee wa Dar es Salaam" amekariri tena ya kuwa ataendelea kuzuru nchi mbalimbali akitoa sababu ileile ya "kujitambulisha kwa majirani" akiwa ni "mpangaji mpya"!
Kiongozi mzalendo anawajibika kueleza manufaa ya kila anachonuia kufanya. Inashangaza ni kwa nini Rais anakimbizana kujitambulisha kwa majirani, yaani utii wake upo kwa majirani na siyo kwa mwenye nyumba, watanzania waliompangisha Ikulu yao.
KWA kuwa mwenye nyumba anayo madhara ikiwa ni pamoja na kutompangisha tena, nilitegemea angeweka kipaumbele kuwazuru wananchi kwanza ndipo aanze kupepea iwapo kuna manufaa ya umma katika kupepea.
Nawasalimu kwa jina la Mwenyezi Mungu aliyeumba Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿
So mama kachukua nchi ikiwa haina pesa!watazindua nini wakati hawana hela