Mmh🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺Sija amini kama amekosa son hadi kumweka mwanae
Mmh🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺Sija amini kama amekosa son hadi kumweka mwanae
Wannu si mwanae?Wannu kafikiwa 😃😃
WanuSija amini kama amekosa son hadi kumweka mwanae
Jaman nyie haiwezekan acheni uchawi mpka wangu?Samia anatangaza Baraza la mawaziri
Joel nanauka- waziri wa Vijana
..kikwete-ofisi ya Rais
- afya - mchengerwa
-Elimu - naibu waziri kapewa mtoto wake mpendwa wanu
Samia anatabasamu TU anaongea bila wasiwasi kiukweli nimependa sana huu ujasiri wake.
Laiti tungekuwa wajasiri kama Samia tungefanikiwa kimaisha zaidi na zaidi
Kaondoka zake as nothing happened..
Power of silent
Naam.... Kwa mara ya kwanza kwenye historia, Rais kateua mwanae wa kumzaa kuwa waziri.Wannu si mwanae?
Ee anamtengenezea mazingira ya 2030Wannu si mwanae?
AISEENaam.... Kwa mara ya kwanza kwenye historia, Rais kateua mwanae wa kumzaa kuwa waziri.
Mama yake Rais
Mme wake Waziri
Na yeye naibu waziri
Wonders shall never end
Kwani ana mishipa hata ya aibu safari Wanu Hafidh kapewa inaibu waziri na mumewe kapelekwa afya.
Iła wazanzibari na nepotism ni shida