The lariat
JF-Expert Member
- May 16, 2025
- 1,351
- 1,928
Mchengerwa waziri, Wanu waziri, mtoto wa Kikwete waziri, Tanzania hakuna wengine? This is abuse of office.Samia anatangaza Baraza la mawaziri
Joel nanauka- waziri wa Vijana
..kikwete-ofisi ya Rais
- afya - mchengerwa
-Elimu - naibu waziri kapewa mtoto wake mpendwa wanu
Samia anatabasamu TU anaongea bila wasiwasi kiukweli nimependa sana huu ujasiri wake.
Laiti tungekuwa wajasiri kama Samia tungefanikiwa kimaisha zaidi na zaidi
Kaondoka zake as nothing happened..
Power of silent