PostGE2025 Rais Samia atangaza Baraza la Mawaziri na Manaibu waziri

PostGE2025 Rais Samia atangaza Baraza la Mawaziri na Manaibu waziri

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
🇹🇿 Mioyo ya Watanzania haiwezi kusahau.

Kila tone la damu ya raia iliyomwagika ni kilio kinachodai haki leo, kesho au mwakani na damu iliyodhulumiwq italipwa .

Dunia imeona mifano ya makatili akina Habre, Charles Taylor na viongozi wa Myanmar wakisimama mbele ya mahakama baada ya kuua watu wao.

Kinga ya urais haidumu milele. Uhalifu waliofanya tunao uthibitisho wao. WAMEUA WATU 10,000+

Hatutaki kufanya visasi tunataka HAKI.

Tunataka uwajibikaji.
Tunataka heshima ya maisha ya Watanzania.

Hakuna aliye juu ya sheria.
Siamini kama hata wewe na Hance mtanashati wote tupo pamoja
 
Naam.... Kwa mara ya kwanza kwenye historia, Rais kateua mwanae wa kumzaa kuwa waziri.

Mama yake Rais
Mme wake Waziri
Na yeye naibu waziri

Wonders shall never end
Hii itazidisha hasira za watanganyika, kelele za kutaka aachie ngazi zitaongezeka.
 
Jana niliwaona balile, Islam mbaraka na kibanda wakiwa wanapanda treni kwenda Dodoma
Hao nao wamebaki na vyeo tu vya kuombea posho lakini magezeti yao watu wameacha hata kununua kwa ajili ya kufungia vitumbua. Siku hizi wanaona hata aibu kuyapeleka kwenye mitambo kuchapicha.
 
Kikosi kipya cha mawaziri 2025 baada ya uchaguzi

Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
👔 Waziri - Mh. Ridhiwani Jakaya Kikwete
👩‍💼 Naibu - Regina Ndege Kwarai
Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji

👔 Waziri - Prof. Kitila Mkumbo
👩‍💼 Naibu - Pius Steven Chaya

Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana
👔 Waziri - Joel Nanauka

Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira
👔 Waziri - Mh. Mhandisi Hamadi Masauni
👩‍💼 Naibu - Dkt. Festo Dugange

Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu
👔 Waziri - Mh. William Lukuvu
👩‍💼 Naibu - Ummy Nderiananga

Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano
👔 Waziri - Mh. Deus Sangu
👩‍💼 Naibu - Mh. Rahma Riadh Kisuo

Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
👔 Waziri - Mh. Prof. Riziki Sailas Shemdoe
👩‍💼 Naibu - Mh. Reuben Nhamanilo (Elimu)
👩‍💼 Naibu - Mh. Dr. Jaffar Rajab Seif (Afya)

Wizara ya Fedha
👔 Waziri - Mh. Balozi Khamis Musa Omar
👩‍💼 Naibu - Mh. Laurent Deogratius Luswetula
👩‍💼 Naibu - Mh. Mshamu Ally Munde

Wizara ya Mambo ya Nje
👔 Waziri - Mahmood Thabit Kombo
👩‍💼 Naibu - Dkt. Ngwaru Jumanne Magembe
👩‍💼 Naibu - Mh. James Kinyasi Millya

Wizara ya Mambo ya Ndani
👔 Waziri - Boniface Simbachawene
👩‍💼 Naibu - Denis Lazaro Londo

Wizara ya Kilimo
👔 Waziri - Daniel Chongolo
👩‍💼 Naibu Waziri - Mh. David Silinde

Wizara ya Maji
👔 Waziri - Mh Juma Aweso
👩‍💼 Naibu Waziri - Mh. Kundo Andrew Mathew

Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
👔 Waziri - Mh. Raymond Simon Nyansao

Wizara ya Ujenzi
👔 Waziri - Abdallah Ulega
👩‍💼 Naibu - Mh. Godfrey Msonge

Wizara ya Uchukuzi
👔 Waziri - Prof Makame Mbarawa
👩‍💼 Naibu - Mh. David Mwakiposa

Wizara ya Viwanda na Biashara
👔 Waziri - Mh. Judith Salvio Kapinga
👩‍💼 Naibu - Mh. Patrobas Katambi

Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
👔 Waziri - Mh. Angela Kairuki
👩‍💼 Naibu - Mh. Sweetbert Zakaria Mkama

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum
👔 Waziri - Dorothy Gwajima
👩‍💼 Naibu - Mh. Marry Mahundi

Wizara ya Afya
👔 Waziri - Mohammed Mchengerwa
👩‍💼 Naibu - Dkt. Florance George Samizi

Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia
👔 Waziri - Prof. Adolf Mkenda
👩‍💼 Naibu - Wanu Hafidh Ameir

Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
👔 Waziri - Dkt. Leonard Akwilapo
👩‍💼 Naibu - Kasper Kasper Muya

Wizara ya Mali Asili na Utalii
👔 Waziri - Mh. Asha Kijaji
👩‍💼 Naibu - Hamad Hassan Chade

Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
👔 Waziri - Prof. Palamagamba Kabudi
👩‍💼 Naibu - Hamisi Mwinjuma
👩‍💼 Naibu - Paul Makonda

Wizara ya Mifugo na Uvuvi
👔 Waziri - Dkt. Bashiru Ally Kakurwa
👩‍💼 Naibu - Mh. Ngwasi Damas Kamani

Wizara ya Madini
👔 Waziri - Anthony Peter Mavunde
👩‍💼 Naibu - Mh. Dkt. Steven Lemomo Kiruswa

Wizara ya Nishati
👔 Waziri - Mh. Deogratius Ndejembi
👩‍💼 Naibu - Salome Makamba

Wizara ya Katiba na Sheria
👔 Waziri - Mh. Juma Homera
👩‍💼 Naibu - Zainab Athuman Katimba
 
Kikosi kipya cha mawaziri 2025 baada ya uchaguzi

Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
👔 Waziri - Mh. Ridhiwani Jakaya Kikwete
👩‍💼 Naibu - Regina Ndege Kwarai
Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji

👔 Waziri - Prof. Kitila Mkumbo
👩‍💼 Naibu - Pius Steven Chaya

Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana
👔 Waziri - Joel Nanauka

Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira
👔 Waziri - Mh. Mhandisi Hamadi Masauni
👩‍💼 Naibu - Dkt. Festo Dugange

Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu
👔 Waziri - Mh. William Lukuvu
👩‍💼 Naibu - Ummy Nderiananga

Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano
👔 Waziri - Mh. Deus Sangu
👩‍💼 Naibu - Mh. Rahma Riadh Kisuo

Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
👔 Waziri - Mh. Prof. Riziki Sailas Shemdoe
👩‍💼 Naibu - Mh. Reuben Nhamanilo (Elimu)
👩‍💼 Naibu - Mh. Dr. Jaffar Rajab Seif (Afya)

Wizara ya Fedha
👔 Waziri - Mh. Balozi Khamis Musa Omar
👩‍💼 Naibu - Mh. Laurent Deogratius Luswetula
👩‍💼 Naibu - Mh. Mshamu Ally Munde

Wizara ya Mambo ya Nje
👔 Waziri - Mahmood Thabit Kombo
👩‍💼 Naibu - Dkt. Ngwaru Jumanne Magembe
👩‍💼 Naibu - Mh. James Kinyasi Millya

Wizara ya Mambo ya Ndani
👔 Waziri - Boniface Simbachawene
👩‍💼 Naibu - Denis Lazaro Londo

Wizara ya Kilimo
👔 Waziri - Daniel Chongolo
👩‍💼 Naibu Waziri - Mh. David Silinde

Wizara ya Maji
👔 Waziri - Mh Juma Aweso
👩‍💼 Naibu Waziri - Mh. Kundo Andrew Mathew

Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
👔 Waziri - Mh. Raymond Simon Nyansao

Wizara ya Ujenzi
👔 Waziri - Abdallah Ulega
👩‍💼 Naibu - Mh. Godfrey Msonge

Wizara ya Uchukuzi
👔 Waziri - Prof Makame Mbarawa
👩‍💼 Naibu - Mh. David Mwakiposa

Wizara ya Viwanda na Biashara
👔 Waziri - Mh. Judith Salvio Kapinga
👩‍💼 Naibu - Mh. Patrobas Katambi

Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
👔 Waziri - Mh. Angela Kairuki
👩‍💼 Naibu - Mh. Sweetbert Zakaria Mkama

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum
👔 Waziri - Dorothy Gwajima
👩‍💼 Naibu - Mh. Marry Mahundi

Wizara ya Afya
👔 Waziri - Mohammed Mchengerwa
👩‍💼 Naibu - Dkt. Florance George Samizi

Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia
👔 Waziri - Prof. Adolf Mkenda
👩‍💼 Naibu - Wanu Hafidh Ameir

Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
👔 Waziri - Dkt. Leonard Akwilapo
👩‍💼 Naibu - Kasper Kasper Muya

Wizara ya Mali Asili na Utalii
👔 Waziri - Mh. Asha Kijaji
👩‍💼 Naibu - Hamad Hassan Chade

Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
👔 Waziri - Prof. Palamagamba Kabudi
👩‍💼 Naibu - Hamisi Mwinjuma
👩‍💼 Naibu - Paul Makonda

Wizara ya Mifugo na Uvuvi
👔 Waziri - Dkt. Bashiru Ally Kakurwa
👩‍💼 Naibu - Mh. Ngwasi Damas Kamani

Wizara ya Madini
👔 Waziri - Anthony Peter Mavunde
👩‍💼 Naibu - Mh. Dkt. Steven Lemomo Kiruswa

Wizara ya Nishati
👔 Waziri - Mh. Deogratius Ndejembi
👩‍💼 Naibu - Salome Makamba

Wizara ya Katiba na Sheria
👔 Waziri - Mh. Juma Homera
👩‍💼 Naibu - Zainab Athuman Katimba
Nimeona kitu hapo
 
Kwa hiyo afya kampa mkwe ili ikitokea tena nywinywinywi, mkwe anazima kila kitu
 
Imekuaje kwa BITEKO?

Au ndo maswala ya Uraia yame back fire,
Jamaa lazima apate SONONA, Kutoka kuongoza wizara mbili, Ulinzi mkali, mpaka kua USELESS hana hata ulinzi wala usafiri wa umma 🤪

Kweli ma SISIM kiboko
😂😂😂😂
 
Hivi Mkenda atakubali uwaziri kwenye serikali hii iliyomwaga damu za warombo kiasi kwamba Himo yalikua yanapita magari (coaster) zaidi ya 70 kwa siku kupeleka maiti Rombo.
Ndugu zake warombo waliokufa Kimara atakua anawasaliti.
 
Back
Top Bottom