PostGE2025 Rais Samia atangaza Baraza la Mawaziri na Manaibu waziri

PostGE2025 Rais Samia atangaza Baraza la Mawaziri na Manaibu waziri

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Imekuaje kwa BITEKO?

Au ndo maswala ya Uraia yame back fire,
Jamaa lazima apate SONONA, Kutoka kuongoza wizara mbili, Ulinzi mkali, mpaka kua USELESS hana hata ulinzi wala usafiri wa umma 🤪

Kweli ma SISIM kiboko
Ndio ajifunze kuwa cheo ni dhamana , Sasa kama ailiishi na watu vizuri haina shida ila kama alikuwa anapandisha mabega , atakufa Kwa kihoro,.

Binafsi mm simpendi biteko coz ana siasa za kishezi alafu muuongo na mnafiki.

Jambo CCM yote wanazo hizi tabia
 
Back
Top Bottom