PostGE2025 Rais Samia atangaza Baraza la Mawaziri na Manaibu waziri

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ridhiwani Kikwete, Kitila, Masauni

Mmamamake yani wanzungushwa hao hao ni kama nchi haina wasomi wengine.

Hii nchi inaliwa na atu wachache hao ndio wanojimegea keki.

Huyu Masauni alikuwa waziri wa ulinzi na bila Mbowe alikuwa anpigwa vibao msibani.

Leo mtu huyu tena ambaye ni mzembe unakuja kumtafutia cheo kwenye wizarani kweli?
 
Makonda na Hamisi Mwinjuma lazima kiumane 🤣 Haoo Juu kuna Babu mzee wa mimacho
 
Jaman nyie haiwezekan acheni uchawi mpka wangu?
 
Naona kaintroduce kitu kipya cha naibu wa 2, Aisee kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…