Mwanetu MWITA WAITARA vp unaibu wizara ya ujenzi? au kaamishwa ?
 
Huwa najiuliza sijui Kikwete huwa anaifikiria familia yake kwamba ataiachaje siku akienda au anafikiri ataishi milele? Hakuna Familia inayochukiwa Tanzania kama hiyo na kila siku chuki inazidi.

Haya Spika Ndugai yuko wapi ?
Sema wewe ndiye unaye ichukia hiyo familia kwa roho mbaya yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…