Kwanza mama asharudi dar, au kateua akiwa pemba
 
Kwa baraza hili nmeamini hangaya anapresha ya 2025, kateua watu wa kumpigia debe
 
Mabula atakua aliwahi kukuangushia kitu kizito kichwani 🤣🤣
Mkuu nazungumzia uwezo wewe unaleta nadharia zako za kijinga, nisome michango yangu humu sijawahi Fanya kazi serikalini Hadi kukutana na mabula

Aniangushie kitu kwa uwezo upo, labda kwa ujinga sio kwa weledi
 

Maktibu wakuu na manaibu wake wako wapi
 
Samia hawezi kurudia ubabe wa Magufuli hana jeuri wala ukichaa wa level ile. CCM itaanza kupoteza viti kama enzi za JK tu.
Angekuwa Jiwe angetuletea mpaka yale makovidi ndani. Yule mzee kitu kinaitwa busara kwake kilishagafariki dunia tangia akiwa mtoto ila yeye akaja kufariki akiwa mzee.
 
Mkuu nazungumzia uwezo wewe unaleta nadharia zako za kijinga, nisome michango yangu humu sijawahi Fanya kazi serikalini Hadi kukutana na mabula

Aniangushie kitu kwa uwezo upo, labda kwa ujinga sio kwa weledi
Huko huko uliko ulipigwa kitu kizito,tupe kipimio cha uwezo ulichotumia
 
Nauliza,, hao mawaziri ndo sukuma gang?, Hao walioachwa[emoji3][emoji3]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 

uteuzi wa mchongo
 
Kwa baraza hili nmeamini hangaya anapresha ya 2025, kateua watu wa kumpigia debe
Mawaziri ni wasaidizi wake hawezi kuwa na wasaidizi ambao ni wapinzani wake si wakajiandae vzr wakutane 2025 shida Iko wap jmn[emoji23][emoji1787]
 
Mkuu ...Lukuvi aliwanyang'anya mashamba na maeneo makubwa wale mungu wa ccm na kuwapatia wananchi wa kawaida, au umesahau.....sababu ya vuguvugu la uchaguzi 2025 ni kichaka Cha kujifichia tuu Cha mungu hangaya na malaika wake......
Lukuvi haikuwa busara kumuacha.
 
Achana na mambo ya mtu anakotoka nazungumzia utendaji wa Lukuvi kwenye ardhi. Unamtoaje mtendaji aliyejitahidi kuondoa uozo kwenye ardhi
Hana lolote ndio wafu walewale ni kwasababu wewe Hukumjua huyo Lukuvi wako, sasa wewe mbona Naibu Waziri unamtukana sababu ya baba yake?
 
Kuna Mtu anajiona anaweza kufanya chochote anachotaka katika nchi hii wakati hata akifa Leo hakutafanyika teuzi kuziba nafasi Wala uchaguzi. Ila huu Ni mwaka wake wa mwisho kuharibu hii nchi.
Mtamfanya nini wakati hii nchi ni mali yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…