Angekuwa Jiwe angetuletea mpaka yale makovidi ndani. Yule mzee kitu kinaitwa busara kwake kilishagafariki dunia tangia akiwa mtoto ila yeye akaja kufariki akiwa mzee.
Nchi hii ilifika mahala ukibembeleza mambo hayaendi!
 
Ni kweli CCM ina wenyewe wa timu Msoga, na sasa imerudi huko kikamilifu. Pamoja na yote, naona mama anaongoza kwa kuangalia 2025 tu, na sijui kwa nini awe anapanicki hivyo ilihali yeye ndiye mwenyekiti wa CCM, na kwa wakati huu CCM haina mpinzani.

Hao wenye CCM ndio waliokuwa wameikwamisha sana mpaka wakaja na sera ya mizigo na kujivua Magamba. Sasa tena sijui itakuwaje huko mbeleni. Ila kama wewe uko CCM na hauna ukaribu na Kikwete, basi imekula kwako. Dili zitapigwa sana serikalini katika miaka hii minne iliyobaki.
 
Juzi juzi hapa eti kalienda Arusha kwa kuunguza kodi za wananchi kukagua nauli stendi akidhan katamfurahisha mama. Kamepigwa chini Sasa. Hakuna tena drama za kisoro.

Bwahaha hahaha hahaha.

Kammmmonnn
Mama hapendi wakristo na watu wa bara!
 
Mkuchika ex spy moja katii ya inner circle ya Tiss protector wa magogoni huyo mzee na umrii alikuwa nao badoo anaweza kulenga shabaha hatari sana
 
So, kumbe Prof. Kitila, Prof. Kabudi, Lukuvi, Mwambe na Waitsra ndio waliokuwa wanampa Samia joto la 2025?

Kabudi arudi jalalani kwake tu sasa
plus ndugai. mama hataki kuucha urais ,aise kuzungukwa na maaskali jeshi ni raha aise, ikulu patamu bwana!! Ila wenye chama sidhani Kama watamuacha aendelee
 
plus ndugai. mama hataki kuucha urais ,aise kuzungukwa na maaskali jeshi ni raha aise, ikulu patamu bwana!! Ila wenye chama sidhani Kama watamuacha aendelee
Na ndo waliomshauri awapumzishe hao
 
Timu Msoga 3: Team Sukuma Gang 0
Dakika ya 90' ya mchezo na hakuna dakika za nyongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…