Wakati wa uongozi wa baba yake watu walikuwa wananyang'anywa ardhi kiholela. Nadhani utakuwa umepata jibuRidhiwani kuwa Naibu Wizara ya Ardhi, kosa kubwa hapa limetendeka, sijui kwanini napata wasiwasi wa huyu kijana kutofit hapa.
Sisi maustaadhi tunashangaa sana pengine yupo Kwa mkakati maalumu.Achana na mambo ya mtu anakotoka nazungumzia utendaji wa Lukuvi kwenye ardhi. Unamtoaje mtendaji aliyejitahidi kuondoa uozo kwenye ardhi
Saivi watu wataonewa Sana kudhulumiwa ardhi.Wakati wa uongozi wa baba take watu walikuwa wananyang'anywa ardhi kiholela. Nadhani utakuwa umepata jibu
Huyu ni mpiga dili inajulikana...tutegemee mjanga ArdhiRidhiwani kuwa Naibu Wizara ya Ardhi, kosa kubwa hapa limetendeka, sijui kwanini napata wasiwasi wa huyu kijana kutofit hapa.
Is back wigh ghe speed ofMsoga era is back.
Tena tumepigwa sana!! Tupeane pole!! Pale mlengwa wa muda mrefu ni Riz 1. Namhurumia sana Mabula!! Hiyo wizara itaongozwa toka msoga na Ikulu!! Viwanja vya waziWizara ya ardhi tumepigwa
1. Mikopo.Yaani,
1;Mavunde
2;Makamba
3;Nape
4;Ridhiwani
5;Bashe
6;Pinda chana
7;mizengo
8;
Aibu yake rais Samia Suluhu,anatafuta mpasuko wa lazima kwa chama na taifa kwa ujumla
Wivu tu unaoBado tuna safari ndefu sana kama taifa, CCM baada ya kututawala kwa miaka 60 wanaonesha dhahiri jinsi akili zao zilivyofika mwisho wa kufikiri. Sasa wanashindwa hata jambo dogo tu la kutafuta sura mpya zenye weledi zije kufanya kazi ya wananchi licha ya wasomi wengi waliopo.
Ni aibu kwa taifa la watu zaidi ya milioni 60 kuongozwa na sura zile zile kila awamu, huu mchezo wa kurithishana madaraka unatengeneza taifa la watawala na watawaliwa. Nawashangaa zaidi wale jamaa zangu wanaoitwa ikulu wakaimbe mipasho wakati hata wao keki ya taifa haiwahusu, hawa ndio watumwa haswa.
Sio kutofit! Yupo kimkakati. Ni kurudisha ardhi ya dingiRidhiwani kuwa Naibu Wizara ya Ardhi, kosa kubwa hapa limetendeka, sijui kwanini napata wasiwasi wa huyu kijana kutofit hapa.
Angalia watoto wa viongozi wakubwa au wastaafu wote wanapangiwa uwaziri na je mtoto wa mkulima lini atateuliwa??Bado tuna safari ndefu sana kama taifa, CCM baada ya kututawala kwa miaka 60 wanaonesha dhahiri jinsi akili zao zilivyofika mwisho wa kufikiri. Sasa wanashindwa hata jambo dogo tu la kutafuta sura mpya zenye weledi zije kufanya kazi ya wananchi licha ya wasomi wengi waliopo.
Ni aibu kwa taifa la watu zaidi ya milioni 60 kuongozwa na sura zile zile kila awamu, huu mchezo wa kurithishana madaraka unatengeneza taifa la watawala na watawaliwa. Nawashangaa zaidi wale jamaa zangu wanaoitwa ikulu wakaimbe mipasho wakati hata wao keki ya taifa haiwahusu, hawa ndio watumwa haswa.
Ufa gani?Ufa unazidi kuongezeka.
Alipiga dili gani na wapi? Tupe ushahidiHuyu ni mpiga dili inajulikana...tutegemee mjanga Ardhi
Tusiwalaumu,,tulaumu Babu zetu kwa nini hawakuchagua siasa enzi hizo😄Kupeana kwa urithi
1. Makamba
2. Mizengo pinda
3. Kikwete
4. Mnauye
5.
uteuzi wa rhidhiwani anaenda kuuza ardhiHuyu ni mpiga dili inajulikana...tutegemee mjanga Ardhi