😃😃😃😃😃😭😭😭😭 Huu uchungu sio wa Nchi hii.
 
Kwani Mwendazake nae alifanya kipi cha maana? Si alijaza ndugu zake na Kambi yake,au mwenzetu uliteuliwa sasa imeliwa kichwa?
 
Kwangu hili baraza ni zuri maana enzi za JK biashara zilikuwa zinatoka,tunataka Hali irudi vile tuuze ..

Nyie wengine mnaolia Lia labda mlifaidi awamu ya 5,,sisi wengine hakuna cha maana tulipata.

Sasa Hawa wakidudisha that economy itakuwa nzuri kwa sisi tunaofanya biashara.
 
Hawa mawaziri waliopigwa chini mbona wote ni wa upande mmoja!? Kuna nini kinaendelea?…
 
1. Mikopo.
2. Tozo.
3. Bei za umeme.
4. Baraza la mawaziri.

Watu wanazidi tu kuamshwa.

Ngoja waamke.
Stroke hadi wewe hujaridhishwa?
Kweli dunia inakwenda kasi mnoo, yaani kadri muda unavyozidi kwenda wale makada wa CCM wa mitandaoni wanazidi kuasi chama chao na kuwa threat kwa CCM.
 
Bila wizi ccm hawawezi kushinda Bara wala zenji
 
Akili zimewarudi.
 
Stroke hadi wewe hujaridhishwa?
Kweli dunia inakwenda kasi mnoo, yaani kadri muda unavyozidi kwenda wale makada wa CCM wa mitandaoni wanazidi kuasi chama chao na kuwa threat kwa CCM.
Sijaasi chama mkuu,

Tunakumbushana tu kwa lengo la kuboresha.
 
Watoto wa wastaafu tu ndo wanapewa nafasi nyeti,si bara si visiwani.nchi hii itahitaji ukombozi kutoka utumwa wa kisultani.Wengine hawawezi kukalia hizo nafasi?
 
umesahau bei ya mbolea ya wapiga kura wake labda msoga atampia kura milioni 8 pekee yake
Samia ni kero ambayo haijawahi kutokea TZ raisi gani analilia mikopo ya mabeberu???
Samia siyo wa CCM kwani ndani ya CCM hawasujudii mabeberu
Samia anajisifia amekopa Trioni 1.3 kutoka kwa mabeberu ili kufanya maendeleo ndani ya Tz na wakati huo huo ametoa Trilioni 10 kutoka pesa za ndani kwenda kulipa madeni nje.

Hivi huyu mtu ana akili sawa sawa?
 
umesahau bei ya mbolea ya wapiga kura wake labda msoga atampia kura milioni 8 pekee yake
Samia ni kero ambayo haijawahi kutokea TZ raisi gani analilia mikopo ya mabeberu???
Samia siyo wa CCM kwani ndani ya CCM hawasujudii mabeberu
Wewe ni boya na hujui uchumi ndio maana unajiropokea..

Kodi kulipa huwezi,tozo kidogo makamasi kibao, wasipokopa waongeze Kodi utalipa wewe?

Kwanza unajua kuongeza Kodi kwa Nchi maskini kama hii utaua uchumi?

Mijitu mifala Sana NYie,uliza Wana Uchumi wakusaidie.Ndio maana China ,US kamwe hawajawahi kuacha Kukopa kwa sababu wanaelewa maana ya Mikopo sio kama wewe umesomea kiswahili unajifanya kujua Uchumi.

Kwanza utakuwa ni maskini wa kutupwa wewe,huko mtaani kwenu kama huwa hukopi basi hata hujielewi.
 
muacheni mama afanye kazi yake jamani? kwa kauli yangu mwenye akili atakuwa amenielewa nini namaanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…