Angalia watoto wa viongozi wakubwa au wastaafu wote wanapangiwa uwaziri na je mtoto wa mkulima lini atateuliwa??
Samia halipi fadhila bali anatimiza azma ya walioumizwa na JPM kwa kuwashughulikia na JPM hakuwa na mambo ya uongozi wa urithi,,,
Jamani jamani Samia hatufai sasa tufanyeje??? mjadala uwe huo
Samia anafanya kazi ya kuharibu legacy ya JPM ambayo angeipata kwa mambo mengi iliyoyaanzisha ikiwamo hiyo miradi ya kimkakati ya SGR , RUFIJI DAM na madaraja ya vivutio
Tunaona uchungu sana lkn tatizo hakuna upinzani credible kwani kuwapa nchi CDM ni bora ya hayo maCCM kwani CDM wakilipa fadhila ni huko nje kwa mabeberu wafadhili na waelekezaji wao,,,bora CCM walipane fadhila kwa waTZ mara dufu kuliko huyo Mabuttu Lissu wa Ubelgiji