Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Sidhani....mbona wakati wa JK walishindwa?Upinzani + Sukuma Gang+ Kundi la mtandao wanaweza kuipasua CCM kuliko wakati wowote na nchi ku experience vuguvugu ambalo halijawahi kutokea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani....mbona wakati wa JK walishindwa?Upinzani + Sukuma Gang+ Kundi la mtandao wanaweza kuipasua CCM kuliko wakati wowote na nchi ku experience vuguvugu ambalo halijawahi kutokea.
Unfortunately this is not automatic.Mungu ibariki Tanzania
Anapiga kaziHuyu Doto Biteko Upepo wake uko Vizuri, Mganga wake ni nani aisee mana mpaka leo ana hema, au kafukia mbuzi mzima hapo Wizarani, Kongole kwake Dr Biteko
Uyu mama najiulizaga maswali mengi Sana.Huyu mama ndo kiboko tangu nikiwa sekondari hadi leo mie bibi kizee bado yupo tu kwenye wizara huko,
Kuna jambo sio bure
Bado sioni kama atatoshaLukuvi anaenda kuwa Spika
ElimuProf. Mkenda yuko wapu
Unaona nani anatosha?Bado sioni kama atatosha
Baraka zangu zaweza kuwa shida kwako. Wacha tuseme
Mungu ibariki Tanzania
Kiti cha spika kipo wazi.Nasikitika kwa Lukuvi tu basi
Hakuna wa kutosha pale sababu wote wametishwa ni kwenda kusikiliza maelekezo ya serikali overBado sioni kama atatosha
Na hatofufuka mkuuKweli nimeamini Magu alikufa!
Lukuvi atapona kweli?Nasikitika kwa Lukuvi tu basi