Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mama jamani 2025 apumzishwe hatuna rais.Hamna kitu kabisa mazaga tu
Hata mimi nimechoka kweli Lukuvi, nje riz naib waziri?!!
Nguvu yake akaiamishie jimbo kwakeLukuvi alipaweza sn ardhi basi tu
Utatu mchafu umetimiaNaona Nape karudi kama ilivyotarajiwa
Kwani si alisema wazi ,wanaotaka Urais atawatoa wakajipange vizuri.Siku ile anasema atafanya mabadiliko ya baraza la mawaziri nikajua ataleta mawaziri kweli, kumbe lengo lake likikuwa ni kutoa wale anaohisi wanataka cheo chake. Safari bado ni ndefu, wanasiasa wasivyokuwa na aibu, tutasema weee na watajikausha kama vile hawatusikii.
Tuliyatarajia hayaRidhiwani ndani, bora tupigwe mnada tu [emoji3]
Muda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam.
======
Rais Samia amebadilisha muundo wa Wizara Tatu, Ameunganisha Wizara ya Uwekezaji iliyokuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Viwanda na Biashara kuwa Wizara Moja ambayo itaitwa Uwekezaji, Viwanda na Biashara.
Ameunda Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na Wizara ya mwisho aliyoifanyia mabadiliko ni Wizara ya Afya
Uteuzi (Mawaziri Wapya):
Nape Moses Nnauye - Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Hamad Masauni - Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi
Dkt. Pindi Chana - Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)
Dkt. Angelina Mabula - Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Hussein Bashe - Waziri wa Kilimo
Manaibu:
Anthony Mavunde - Kilimo
Jumanne Abdallah Sagini - Mambo ya Ndani
Dr. Lemomo Ole Kiruswa - Madini
Ridhiwani Kikwete - Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Atupele Mwakibete - Ujenzi na Uchukuzi (Upande wa Uchukuzi)
Mabadiliko ya Mawaziri:
Jenista Mhagama - Utawala Bora
Ummy Mwalimu - Afya
George Simbachawene - Katiba na Sheria
Profesa Joyce Ndalichako - Waziri wa Kazi
Innocent Lugha Bashungwa - TAMISEMI
Profesa Adolf Mkenda - Wizara ya Elimu
Dkt. Dorothy Gwajima - Wanawake, Jinsia na Makundi Maalum
Mohammed Mchengerwa - Utamaduni na Michezo
Dkt. Ashatu Kijaji - Uwekezaji
=====
Kwa Ufupi;
Ikulu
Mkuchika
Utumishi
Mhagama
Ndejembi
Tamaisemi
Bashungwa
Silinde
Festo
Makamu wa Rais
Jafo
Hamis Hamis
Sera Bunge
Pindi Chana
Nderiananga
Ajira na kazi
Ndalichako
Katambi
Fedha
Mwigulu
Chande
Ulinzi
Tax
Ndani
Masauni
Sagini
Katiba
Simbachawene
Pinda
Mambo ya Nje
Mulamula
Mbaruku
Kilimo
Bashe
Mavunde
Mifugo
Mashimba
Ulega
Ardhi
Mabula
Kikwete
Maliasili
Ndumbaro
Masanja
Nishati
Makamba
Byabato
Madini
Biteko
Kiluswa
Ujenzi
Mbarawa
Atupele Mwakibete
Godtlfrey Kasekenya
Viwanda
Kijaji
Kigahe
Afya
Ummy Mwalimu
Ole Mollel
Elimu
Mkenda
Kipanga
Maendeleo ya kamii
Gwajima dorothy
Mwanaidi Hamis
Maji
Jumaa aweso
Mahundi
Utamaduni
Mchengerwa
Gekul
Habari Mawasiliano
Nape Nnauye
Kundo Mathew
sawa mkuuNguvu yake akaiamishie jimbo kwake
Hakuna mganga zaidi ya Mungu
Safar hii hajatoa kafara kubwa,Kigwangala Mganga wake anapiga HELA ZAKE ZA BURE tu hata hapa hajatokea?😂😂
Lazima shukrani
Usubiri uolaewe sasaZile Ni takataka za mwendazake, yafaa ziondolewe
mropokaji sana alafu anapenda media na bata kuliko kaziKilichonifurahisha kwenye haya mabadiliko Ni kukosekana kwa Ngwala kwenye hili Baraza. Leo nitawanunulia wanyamwezi beer tatu tatu
Yule no mropokaji TU[emoji4]
Kuna kazi kubwa sana kumpata spika, bora hata zungu kuliko lukuviUnaona nani anatosha?