Rais Samia atatimiza na kusherehekea Umri wa miaka 64 Jumamosi ya wiki hii, huku Taifa likiwa na imani kubwa kwake

Mama Samia Ni mpango wa Mungu Mwenyewe.Aliinuliwa kwa mkono wa Mungu na hivyo hawezi kushushwa kwa mkono wa mwanadamu wa aina yoyote ile.
Hayupo wa kumzuia humu nchini,
2025 kama kawa kama dawa ikulu ndani bila mbambamba.....
 
Hayupo wa kumzuia humu nchini,
2025 kama kawa kama dawa ikulu ndani bila mbambamba.....
Ni Fomu moja tu ya Urais ndani ya CCM kwa ajili ya Rais Samia. Hii Ni kuwapa watanzania chaguo lao na kukata kiu kubwa walio nayo katika mioyo yao ya kuhitaji utumishi wa Rais Samia kwa awamu nyingine tena.
 
Bila Katiba mpya Raisi Samia hii itakuwa birthday yake ya mwisho kufurahia maana huko mbele sio kuzuri bila katiba!
Rais Samia Ndiye Rais wa Taifa letu mpaka 2030. Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.
 
Wacha waendelee Kuzunguka Barabarani Kwa sababu ni wajinga
Waache waendelee kupiga porojo zao wakati hapo lengo la Mbowe ni kutaka kujibakiza tena madarakani ili kuendelea kutafuna Ruzuku na kila aina ya senti itakayo katisha mbele yake.
 
Njaa itakuuwa
 
Ni majinga na mashetani kama wewe ndiyo yenye Imani. Werevu na wazalendo wa kweli tunaamini kwasasa nchi haina viongozi Bali ni mapicha tu na matapeli. Kutwa nzima yanazurura kwa Kodi zetu. Hizo ndege yanapanda ni Kodi za wanyonge huku yakigawa umeme kwa wananchi. Yanaamini kujenga nchi ni kutembeza bakuli. Yaani natamani hata yafie angani kabisa. Wewe pamoja na matapeli wenzako mungu awachukue haraka, shetani wewe usiyehurumia wananchi wenye Shida waliopo gizani sasa hivi. Kufa matapeli haya
 
Wewe nilishasema ni kichaa unayehitajika kuwa pale Mirembe ukiwa na kamba mikononi na miguuni na kuanza matibabu kwa haraka sana. Wewe ni laana katika Taifa letu.
 
Hivi huyu chawa atapewa uteuzi lini?
 
Kama unataka basi hama nchi mapema sana ukaishi hata huko Somalia .maana mwakani Rais Samia anaapishwa kuongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sipo huko nilitoka miaka zaidi ya 20 iliyopita ila haibadilishi asili yangu na kusikitika kuona nchi inazidi kudidimia chini ya majambazi ya CCM.

Narudia tena Samia kawa rais inadvertently.

Hizo habari za kusema Samia ni mpango wa mungu labda huyo mungu ni wa unguja.
 
Tanesco wamtengenezee keki nyeusi kama hili giza ili kumuunga mkono.
 
Rais Samia Ndiye chaguo letu watanzania tuishio hapa Tanzania.kwa hiyo wewe unayeishi uhamishoni endelea na mambo yako huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…