Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Raia feki kazi yake kuu ni ...Kula dubai na kuja kunya tanzania hiyo ni kazi kuu anayo fanya kila siku na kuimudu vizuri"Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja"
Kwa hiyo siku nyingine zote zilizobaki za Mwezi atakua anafanya shughuli gani!?