samsolo the great
JF-Expert Member
- Jul 9, 2021
- 750
- 1,086
Hilo la kuwasilisha kero siyo geni kwenye serikali hii ya sisiyemu wengi tunafahamu mfumo unaoitwa emrejesho au Tamisemi ya wananchi watu tumewasilisha malalamiko huko several times hakuna utatuzi uliopatikana zaidi ya kuambiwa wasiliana na ofisi za mamlaka za serikali za mitaa ambazo ni za wakurugenzi wa halmashauri