Pre GE2025 Rais Samia atenga siku moja kila mwezi kusikiliza kero za watanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa mwinyi zanz kila wiki alhamis ni siku ya kupeleka kero kwa rais Moja kwa Moja hata kama mgambo wanakupiga mitama nje ya ukuta wa ikulu
Zanzibar ni equivalent na Mkoa wa Bara; Huyu wa na hilo Mkalitazame kwahio anasikiliza Kero ili Wakalitazame ?!!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja

"Amefanya hivyo kwa sababu kuu tatu moja ni kuwafanya viongozi wengine wawe na tabia ya kusikiliza kero za Wananchi, sababu ya pili ni kumuenzi Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi na jambo la tatu ni kutoa nafasi ya kutumia cheo na nyadhifa za uongozi kuwasaidia Wananchi"

Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na mafunzo wa CCM
Jambo jema msije mkasema muuza mahindi ana bastola kiunoni!
 
Siku 12 kwa mwaka
A big joke.

Matatizo ni mengi sana, na ofisi zao hazifikiki. Kujibu barua tu Ikulu yetu ni tatizo kubwa

Ingependeza angeunda kitengo hapo Ikulu kupokea shida za watu na kuzielekeza kwa maofisa husika zitatuliwe.
 
Safi sana haya ndio maneno sasa automatically mambo yataanza kubadilika.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja

"Amefanya hivyo kwa sababu kuu tatu moja ni kuwafanya viongozi wengine wawe na tabia ya kusikiliza kero za Wananchi, sababu ya pili ni kumuenzi Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi na jambo la tatu ni kutoa nafasi ya kutumia cheo na nyadhifa za uongozi kuwasaidia Wananchi"

Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na mafunzo wa CCM
Alikuwa wapi muda wote huo?Au kasoma mambo ya nyakati?wacha inyeshe tutajua panapovuja.mbona tatizo la kikokotoo kwa wafanyakazi kashindwa kulitafutia ufumbuzi?kuna wafanyakazi wamestaafu kuanzia julai 2023 mwaka hata bima zao za afya wanasimbuliwa .Mara tunahitaji hiki mara kile mbona aliporudisha kadi mlizichukua na wakati mnamtengenezea hizo kadi mlitumia nyaraka gani?
 
"Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja"

Kwa hiyo siku nyingine zote zilizobaki za Mwezi atakua anafanya shughuli gani!?
Mama kafeli mapema mno
 
Zanzibar ni equivalent na Mkoa wa Bara; Huyu wa na hilo Mkalitazame kwahio anasikiliza Kero ili Wakalitazame ?!!
Anatakiwa aweke watu wake kila mkoa kusikiliza kama ni kesi nzito sana anapelekewa yeye azisovu. Ukubwa na uwingi wa watu sio tatizo mana hata mwinyi humuoni yeye mpaka ithibitishwe kweli hii shida ya kumuona. Kuna jamaa chini yake pale ikulu na hiyo ofis ya hivyo ipo active mpaka sasa hapo vuga
 
Yeye amekalia safari za nje huku wasaidizi wake hawafanyi kitu,,badala ya kuendelezea magufuri alipoachia mfano kutemebea mikoani nakusikiliza kero yeye anaona sifs saaana ya kusafiri kwenda mjuu
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja

"Amefanya hivyo kwa sababu kuu tatu moja ni kuwafanya viongozi wengine wawe na tabia ya kusikiliza kero za Wananchi, sababu ya pili ni kumuenzi Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi na jambo la tatu ni kutoa nafasi ya kutumia cheo na nyadhifa za uongozi kuwasaidia Wananchi"

View attachment 2925211
Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na mafunzo wa CCM​
Utaratibu wa kuonana nae unakuwaje wakuu nataka nipeleke kero yangu muhimu sana..
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja

"Amefanya hivyo kwa sababu kuu tatu moja ni kuwafanya viongozi wengine wawe na tabia ya kusikiliza kero za Wananchi, sababu ya pili ni kumuenzi Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi na jambo la tatu ni kutoa nafasi ya kutumia cheo na nyadhifa za uongozi kuwasaidia Wananchi"

View attachment 2925211
Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na mafunzo wa CCM​

Sababu kuu ni moja tu uchaguzi.

Kero namba moja ni gharama za maisha, chakula, nauli mafuta, sukari kila bidhaa. Anafanyaje kutatua hii kero?
 
Kwan hajuu matatizo ya nchii???hajui sukari imepanda,matibabu gharama juu,umeme hakuna
 
Anakutana nao wapi? Aruhusu mabango na ayasome kwa sauti aone atakavo furahia shoo
 
"Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja"

Kwa hiyo siku nyingine zote zilizobaki za Mwezi atakua anafanya shughuli gani!?
Siku nyingine atakua anakula urefu wa kamba
 
Ukiwa Rais wa Tanzania alafu ukawa unapenda kupita pita kwenye mitandao kama hii, unaweza kesho asubuhi ukaandika barua ya kuomba kupumzika Kazi kama hauna ngozi ngumu

Huyu Mama Kuna kitu anakosea kudeal na Wananchi Moja Kwa Moja

Ni kama amekumbatia zaidi kundi la Wafanyabiashara na Matajiri zaidi kuliko kundi Kubwa la Masikini

Gharama kubwa za Fuel, Sukari vinaweza kuchangia pakubwa anguko lake
 
Anatakiwa aweke watu wake kila mkoa kusikiliza kama ni kesi nzito sana anapelekewa yeye azisovu. Ukubwa na uwingi wa watu sio tatizo mana hata mwinyi humuoni yeye mpaka ithibitishwe kweli hii shida ya kumuona. Kuna jamaa chini yake pale ikulu na hiyo ofis ya hivyo ipo active mpaka sasa hapo vuga
Kwani hao watu hawapo ? Hivi ni Siasa tu; na uwepo wa Kero nyingi inaonyesha kazi haifanyiki..., Ila ndio hivyo Siasa ishakuwa maigizo wabongo wanapenda kuona hizo tamthiliya na hawa watawala kuuza Sura (ingawa hakuna kinachofanyika)

Tangia Uhuru Maadui ni wale wale wala hatujawahi kuwashinda na sasa hivi sidhani hata kama tunapigana nao tena hao maadui zaidi ya kulishana matango pori...
 
Kama ni siku Moja kweli yaani masaa 24 au angalau masaa 15 sio mbaya
 
Back
Top Bottom