Pre GE2025 Rais Samia atenga siku moja kila mwezi kusikiliza kero za watanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Amalizane na haya mambo kwanza.
1. Umeme.
2. NHIF - Bima.
3. Maji.
4. Mfumo wa elimu.

Akiyamalizia hayo atakuwa ametuokoa na tutamkumbuka daima.
 
Angeboresha Kwa kuweka Namba maalum kutumiwa sms,inaokoa muda,usumbufu WA kufuata huduma wale WA mbali.Hapa awe na kikosi maalum.
 
Maoni yangu kwa jambo hili.

Mh rais ana wasaidizi wengi sana kuanzia ngazi ya mtaa/kijiji mpaka huko taifa.

Suala hili angetafuta namna nzuri zaidi ya kuendana nalo iwapo anahitaji kufanya hivyo ila sio kwa njia hii anayotaka kuitumia maana itamchosha sana na haiwezi kuwa effective hasa ukizingatia mama alivyo na ratiba nyingi.

Tanzania ni nchi kubwa sana na ina mikoa mingi, na wenye kero ni wengi sana kuliko wasiokua na kero.
 
Dawa ni kuwafukuza watendaji wabovu na wabadhirifu ni kuwafikifisha mahakamani wafungwe na mali za wizi zitaifishwe.

Akifukuza watendaji wabovu kuanzia mawaziri, wakuu wa mikoa, Wakurugenzi, Watendaji wa halmashauri, wakuu wa polisi wazembe hata 100 hivi watajua yupo serious. Otherwise ni maneno matupu.

Wizi ya Ardhi, mahakama, polisi zimejaa uonevu, rushwa, wizi. Yeye yupo kimya hataki /hawezi kutoa tamko hata moja.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja

"Amefanya hivyo kwa sababu kuu tatu moja ni kuwafanya viongozi wengine wawe na tabia ya kusikiliza kero za Wananchi, sababu ya pili ni kumuenzi Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi na jambo la tatu ni kutoa nafasi ya kutumia cheo na nyadhifa za uongozi kuwasaidia Wananchi"

View attachment 2925211
Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na mafunzo wa CCM​
Mbona kero kubwa ya wananchi kuhusu bandari zetu kupewa waarabu hakuisikiliza?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja

"Amefanya hivyo kwa sababu kuu tatu moja ni kuwafanya viongozi wengine wawe na tabia ya kusikiliza kero za Wananchi, sababu ya pili ni kumuenzi Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi na jambo la tatu ni kutoa nafasi ya kutumia cheo na nyadhifa za uongozi kuwasaidia Wananchi"

View attachment 2925211
Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na mafunzo wa CCM​
How?
 
Tutaona mengi sana kipindi hiki tuna elekea kwenye uchaguzi Mkuu 2025.
 
Angeboresha Kwa kuweka Namba maalum kutumiwa sms,inaokoa muda,usumbufu WA kufuata huduma wale WA mbali.Hapa awe na kikosi maalum.
Hawezi, kwa siku zinaweza kuingia sns hata 10,000, ataweza kusoma kweli? Labda wasaidizi wake wamsaidie!.
 
Baada ya kuona hapendwi wala hana msaada wowote kwa watanzania na 2025 imekaribia kama ataacha kihalali atanyolewa anaanza kujipendekeza.
 
Safi saana

Haya ndiyo tuliyoshauri

Najua yamefanyiwa kazi kiotomati safi sana
Screenshot_20240305-160052_Chrome.jpg
 
Mi nashauri awe anatumia dakika mbili tuu kila Mwezi kumsikiliza Mbunge wangu LUHAGA MPINA...na atatue changamoto atakazopewa kwa asilimia 20 tuu... akifanikiwa Hilo atakua ametatua changamoto za watu wengi sana.
 
Back
Top Bottom