mbeyakwetu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 723
- 394
kama kitu kinaendelea kwa mbaliiii
CHALAMILA kawapa ajira waislamu wawili: ZUWENA na BATILDA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHALAMILA kawapa ajira waislamu wawili: ZUWENA na BATILDA
Hamna lolote alikua anamtafutia nafasi batilda buryani tu. 2025 lazima kufanya uamuzi sio hizi show kufurahisha maliberali.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Juni 2021 amefanya mabadiliko madogo ya wakuu wa Mikoa na kuteua viongozi wengine kama ifuatavyo:-
=====
Rais Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Mkuu wa mkoa wa Mwanza Albert Chalamila, na kumhamishia mkoa huo Mhandisi Robert Gabriel ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Mara.
Hatua hiyo imetokana na Rais Samia Suluhu Hassan kufanya mabadiliko madogo ya wakuu wa Mikoa na kuteua viongozi wengine.
Taarifa iliyotolewa usiku huu wa Juni 11, 2021 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu imesema katika mabadiliko hayo aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ally Salum Hapi anahamia Mkoa wa Mara.
Kwa mujibu wa Taarifa hiyo, Rais Samia amemteua Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Batilda Salha Buriani kuwa mkuu wa Mkoa wa Tabora kuchukua nafasi ya Ally Salum Hapi.
Aidha Katibu Twala Wilaya ya Simanjoro Zuwena Omari Jiri ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga kuchukua nafasi ya Batilda Salha Buriani.
Taarifa hiyo imesema tarehe ya uapisho wa viongozi wapya itatangazwa baadae
View attachment 1814796
HAPANA KUBWA,sio nyinyi mlio kuwa mnalialia humu mitandaoni eti Chalamila hafai, ukipekua humu JF kuna nyuzi kibao zinapinga uteuzi wa chalamila! au mlikuwa sio ninyi? Haya katekeleza matamanio yenu mmebadiri gia imekuwa anamtafutia mtu nafasi kweli? kweli JF imeingiliwa.Hamna lolote alikua anamtafutia nafasi batilda buryani tu. 2025 lazima kufanya uamuzi sio hizi show kufurahisha maliberali.
Bado hajateua wakuu wa wilaya hata hivyo nafasi yake kurudi ni ndogo mno kasesera ni bahati tu ilimdondokea kuwepo mpaka sasa
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Blaza Alli mwacheni jamani si ametulia...! Kwani mmewahi kumsikia akinena awamu hii?Alli Hapi ana dawa gani?
Makeke yakizidi lazima uwaribu, Chalam8la level yake sionkuongoza mkoaChalamila alikuwa anahangaika mno. Juzi hapa nimemuona akiwataka wananchi wa Mwanza wajitokeze kwa wingi kwenye ziara ya Rais atakayoifanya mkoani humo na akawataka waje na mabango ya kutosha - hata kama ni ya matusi sawa tu. Wakati huo huo mama ameshatoa onyo kuwa hataki kuona mabango wananchi wakiilalamikia serikali; na kwamba mabango hayo yatawa-cost wakuu wa mikoa. Huu ni wakati wa ku-lay low na kusoma upepo unavyokwenda. Haoni wenzake akina Hapi wako kimya wanahamishwa tu huku na huko utafikiri mpira wa kona?
Nimeliwaza sana hili!Hivi mnafikiri kila mtu anapenda haya mavyeo...
Wengine wanaharibu makusudi ili wapumzike..
Fanya yako Chalamila.
Duuh, huyu siyo kiongozi...Kwa hali tuliyonayo kuna vitu viwili vya kuogopa
Mungu
Technology
Huyo RC inaonekana vyote hivyo hakuwa na hofu navyo
Bahati mbaya vitimbwi vyake vitaendelea kubaki mitandaoni hadi atakapokuwa Mzee na hatimaye wajukuu kuja kumshangaa Babu yao 😅
Maovu yake ya mwanzo bado tunayakumbuka snBlaza Alli mwacheni jamani si ametulia...! Kwani mmewahi kumsikia akinena awamu hii?
Siasa inalipa balaaKwa kweli sipendi watoto wangu kuwa wanasiasa.
Ni swala la muda tu. Aanze kuloweka nywele zake maana siku zake hazikombali!Alli Hapi ana dawa gani?