masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Protokali hairuhusu.Ni kawaida maana alimtoa mkuu wa JKT Major General Charles Mbuge na kumteua mkuu wa mkoa wa Kagera.
Kwa hiyo ni kawaida
Charles Mbuge amekuwa major genaral June 2020. Mwaka Jana may mama Samia alimteua kuwa mkuu wa mkoa.mbuge si alikua brigadier wakati anapelekwa kagera?
yule major aliyemtoa jkt nafikiri ndiye yule alipelekwa kuwa mkuu wa mgambo
Hayo sijui, mm nilikua nakuweka sawaProtokali hairuhusu.
Ni umasikini tu wa hso Majenerali, lakini vyeo vyao ni vikubwa mno kwa Jenerali kuongoza mkoa, kama ambavyo luteni Makamba aliongoza Kigoma.
Swali gan hilo?! Hujiulizi hata makonda, Sendeka, Mnyeti, nk walijitosa kwenye ubunge huku wakijua watapoteza ukuu wa mkoa wakati huohuo hakuna uhakika wa kuupata huo ubunge wenyewe, kamali, Leo shabiby ni mbunge mpe Sasa ukuu wa mkoa kama atakubali, hapana chezeya ubunge wewe na ni kazi ambayo unafanya kwa uhuru huku ukiendelea na mishe zingine.Sasa ubunge anautaka wa nini?
Mbona hadi alirusha mangumi aliposhindwa ? Pesa anazo ubunge anautakia nini mpuuzi huyo si abaki na biashara zake?
Nimewaza kama wewe. Mama anawa-hate sana members wa sukuma gang. Itakuwa mama kanusa kitu kama hicho.Timu jpm yule... kama wenzake wanatenguliwa kimya kimya
Kama hujui , tunakuelewesha.Hayo sijui, mm nilikua nakuweka sawa
Most likelyYawezekana pia jamaa kamwomba Mama amtengue
Hapo ndio zamani? ndio maana nakuambia we ni dogo huko nyuma hakukuwa na active army officer kwenye siasaHuenda wewe ndio wa juzi. Kanali massawe aliteuliwa mkuu wa wilaya kinondoni 2006, au ulikuwa bado village?
Nitakuwa wa kwanza kukuita jibwa mama asipolitolea maelezo.Jamani huyu mzee kapata kazi ya mkataba wa miaka 5 nchi moja wapo bara la Asia toka shirika la UN anaenda kusimamia maswala ya fedha japo siyo ndo atakuwa mkuu,
Jaribu kutafakari unaweza acha kazi ambayo ushasaini mkataba kisa kazi ya kuteuliwa ambayo hujui hatma yako
Mzee alimuandikia mama barua na maelezo ya kutosha mama kamuelewa kateua mwingine
Kesho mniite mbwa kama mama asiposema ameombwa
Hizi chawa sijui zinakaaga engo gani!!.?Jamani huyu mzee kapata kazi ya mkataba wa miaka 5 nchi moja wapo bara la Asia toka shirika la UN anaenda kusimamia maswala ya fedha japo siyo ndo atakuwa mkuu,
Jaribu kutafakari unaweza acha kazi ambayo ushasaini mkataba kisa kazi ya kuteuliwa ambayo hujui hatma yako
Mzee alimuandikia mama barua na maelezo ya kutosha mama kamuelewa kateua mwingine
Kesho mniite mbwa kama mama asiposema ameombwa
JeshiniNaomba kuuliza swali kwa mfano hapo meja generali Mzee amekuwa mkuu wa mkoa je akitenguliwa anarudi jeshini au anarudi magereza maana umri wake wa kustaafu bado???
Imebainika kuwa Rafaeli Chegeni ni member mtiifu wa sukuma gang ndiyo maana katenguliwa.Acha uongo. Chegeni namjua vizr walipigana ngumi na DR. Kamani. Unadhani hayo yote uliyoyataja hakuwa nayo! Licha ya hao lakin mwaka 2020 aligombea Tena.
Acha kupotosha. Hii ni serikali ya kishikaji. Nani amesahau ya MATARAGIO pale kampuni ya Mafuta
Ebu acha hizo bwana .haya mambo hayana uzanzibari Wala uzanzibaraMama kamkosea adabu sana Huyu Chegeni pamoja na usukuma wake mi nasema hapana, na aache kuendewa na muha wa burundi ktk kufanya maamuzi yanayowahusu watanzania hasa wabara.
kwa mwendo huu wallah tusijaribu tena kuteua wazanzibar kuongoza tanzania.
Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
Unadhani huwa wanateuliwa tu bila kujulishwa wanapewaga info kabla hata hamjapewa announcement za usiku usiku na zuhura yunusJamani huyu mzee kapata kazi ya mkataba wa miaka 5 nchi moja wapo bara la Asia toka shirika la UN anaenda kusimamia maswala ya fedha japo siyo ndo atakuwa mkuu,
Jaribu kutafakari unaweza acha kazi ambayo ushasaini mkataba kisa kazi ya kuteuliwa ambayo hujui hatma yako
Mzee alimuandikia mama barua na maelezo ya kutosha mama kamuelewa kateua mwingine
Kesho mniite mbwa kama mama asiposema ameombwa
Swadaktaaaa!Push Gang flush out!
Kamwambie mama samiaKama hujui , tunakuelewesha.
Kosa lililopita halihalalishi mmakosa zaidi juu ya uteuzi wa very senior military officers uraiani.
Major General kuwa chini ya kijana kama Bashungwa is unbecoming.
ni kweli CCM ni sikio la kufa ni wakoloni weusiNdio maana kuna haja kubwa ya kuwa na katiba mpya yenye kuainisha namna todauti ya kuwapata hawa viongozi.
Kwa hiyo unataka nikutolee mifano ya miaka ya 80 hata Kama nimesahau?Hapo ndio zamani? ndio maana nakuambia we ni dogo huko nyuma hakukuwa na active army officer kwenye siasa
Orodha ni ndefu ya ret. Offices kwenye ukuu wa mikoa na wilaya na hakukua na majeshi mengine kama polisi kama ilivyo sasa ambapi baadhi wapo na ndio maana hata magereza nao walililalamika kwa JPM.
Utaratibu huu una athari zake. Tunajua wamesomea uongozi na utawala ila sio kigezo kwa nchi changa kama za Africa kuwatumia uraiani.
Anyways tuyaache kama yalivyo