Rais Samia atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Dkt. Raphael Chegeni

Kaazi kweli, kuna kitu hakiko sawa mahali naapa! Kariba mpya ni muhimu kwa ustawi wa Taifa letu
 
Ile hovyo hovyo ya wakati ule bado ipo kazini.
 

Dkt. Raphael Chegeni ni Mtanganyika na msomi mzuri anadhalilishwa na Mzanzibari. Tunasema tunahitaji Muungano. Kuna mahali tumekosea au tumelongwa.​

 
Hana huo ubavu wa kuukataa ukuu wa mkoa, huna unachokifahamu kumhusu Chegeni, hiyo Isamilo lodge yenyewe mkopo umemkalia kooni na ka sio JPM ilikuwa inapigwa mnada, hao watoto walokuwa kwa hizo abroad financial institutions ni wapi? Wataje, hiyo exposure ya nje ya nchi Chegeni kaipata lini?

Katoka GGM baada ya kifo cha alokuwa mbunge wa Busega Ernest mwaka 2002 nadhani akiwa mfanyakazi wa kawaida idara ya uhasibu tena kwa elimu ya astashahada, kashinda ubunge na since then anapambana na ubunge sijui hata huo Udaktari aliupata vipi, ngoja tunyamaze tu, navyomjua Chegeni nadhani alikuwa keshafanya bonge la sherehe pale kwao Mkula au nyumbani kwake pale jirani na Mashine ya mawe Kitangiri maana hizo ndio huwa zake anapopata nafasi ya uongozi.
 
Unataka kusema nini?
 
Hujaona mzawa na Phd holder ananyanyaswa na secretary?
 
Sio poa alivyofanyiwa.
Katiba mpya inshitajika haraka na Rais anatakiwa awe na Phd, wabunge wawe na masters, madiwani kidato cha sita na wenyeviti wa serikali za vijiji kidato cha nne.
Hii habari ya kunysnyada wasomi itaisha.
 
Mkuu habari za huko Buduku.... nahisi una chuki binafsi na dk Chageni au basi ujuaji wa JF...
 
Hapo amedhalilishwa. Kwanza hakuomba hiyo nafasi, alitakiwa kuchunguzwa kabla ya kutangazwa.
 
Mkuu habari za huko Buduku.... nahisi una chuki binafsi na dk Chageni au basi ujuaji wa JF...
Ili inisaidie nini ndugu? naweka kumbukumbu sawa tu ili kuzuia upotoshaji wako, hakuna alofurahia kitendo alofanyiwa Chegeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…