Rais Samia atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Dkt. Raphael Chegeni

Kaazi kweli, kuna kitu hakiko sawa mahali naapa! Kariba mpya ni muhimu kwa ustawi wa Taifa letu
 
Siku chache baada ya Wakuu wa Mikoa wapya 9 kuteuliwa, Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Dkt. Raphael Masunga Chegeni

Amemteua Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, na ataapishwa na Wateule wengine kesho (Agosti 01, 2022)

Kabla ya uteuzi wa Rais, Meja Jenerali Mzee alikuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP)

View attachment 2310242

View attachment 2310215
Ile hovyo hovyo ya wakati ule bado ipo kazini.
 
Dkt. Raphael Chegeni ni Mtanganyika na msomi mzuri anadhalilishwa na Mzanzibari. Tunasema tunahitaji Muungano. Kuna mahali tumekosea au tumelongwa.​

Chegeni huyu ninayemjua kaomba mwenyewe kutenguliwa, pesa anazo si za nawazo ..Isamilo Hotel ya jijini Mwanza, Majumba ya kutosha Dar, Dodoma, Mwanza nk...watoto wake wote wapo kwenye Financial institutions kubwa Dubai, Austraria na USA, mke wake.....niishie hapa nisije jichoresha Bure nyuma ya I'd feki! Kifupi jamaa pesa ipo, kwenye siasa Kawa mbuge wa Busega kuanzia kwa Mkapa hadi awamu ya tano alipoondelewa na yule dk wa mifugo....Kisha kuingia tena na baadae Jiwe akamuweka pembeni pamoja na kuongoza kura za maoni!
Kichwani jamaa yupo vizuri, exposure ya nchi za wenzetu pia SI haba...huyu kumpa ukuu wa Mkoa ni sawa na kumuweka kundi la akina Sendeka wachumia tumbo!

Tengua ya Leo ngoja tusubiri ufafanuzi vinginevyo rais wetu kazungukwa na mafisi kundi la watu wa ovyo kuwahi kutokea!
Hana huo ubavu wa kuukataa ukuu wa mkoa, huna unachokifahamu kumhusu Chegeni, hiyo Isamilo lodge yenyewe mkopo umemkalia kooni na ka sio JPM ilikuwa inapigwa mnada, hao watoto walokuwa kwa hizo abroad financial institutions ni wapi? Wataje, hiyo exposure ya nje ya nchi Chegeni kaipata lini?

Katoka GGM baada ya kifo cha alokuwa mbunge wa Busega Ernest mwaka 2002 nadhani akiwa mfanyakazi wa kawaida idara ya uhasibu tena kwa elimu ya astashahada, kashinda ubunge na since then anapambana na ubunge sijui hata huo Udaktari aliupata vipi, ngoja tunyamaze tu, navyomjua Chegeni nadhani alikuwa keshafanya bonge la sherehe pale kwao Mkula au nyumbani kwake pale jirani na Mashine ya mawe Kitangiri maana hizo ndio huwa zake anapopata nafasi ya uongozi.
 
Hana huo ubavu wa kuukataa ukuu wa mkoa, huna unachokifahamu kumhusu Chegeni, hiyo Isamilo lodge yenyewe mkopo umemkalia kooni na ka sio JPM ilikuwa inapigwa mnada, hao watoto walokuwa kwa hizo abroad financial institutions ni wapi? wataje, hiyo exposure ya nje ya nchi Chegeni kaipata lini? katoka GGM baada ya kifo cha alokuwa mbunge wa Busega Ernest mwaka 2002 nadhani akiwa mfanyakazi wa kawaida idara ya uhasibu tena kwa elimu ya astashahada, kashinda ubunge na since then anapambana na ubunge sijui hata huo Udaktari aliupata vipi, ngoja tunyamaze tu, navyomjua Chegeni nadhani alikuwa keshafanya bonge la sherehe pale kwao Mkula au nyumbani kwake pale jirani na Mashine ya mawe Kitangiri maana hizo ndo huwa zake anapopata nafasi ya uongozi.
Unataka kusema nini?
 
Hujaona mzawa na Phd holder ananyanyaswa na secretary?
 
Sio poa alivyofanyiwa.
Katiba mpya inshitajika haraka na Rais anatakiwa awe na Phd, wabunge wawe na masters, madiwani kidato cha sita na wenyeviti wa serikali za vijiji kidato cha nne.
Hii habari ya kunysnyada wasomi itaisha.
 
Hana huo ubavu wa kuukataa ukuu wa mkoa, huna unachokifahamu kumhusu Chegeni, hiyo Isamilo lodge yenyewe mkopo umemkalia kooni na ka sio JPM ilikuwa inapigwa mnada, hao watoto walokuwa kwa hizo abroad financial institutions ni wapi? wataje, hiyo exposure ya nje ya nchi Chegeni kaipata lini? katoka GGM baada ya kifo cha alokuwa mbunge wa Busega Ernest mwaka 2002 nadhani akiwa mfanyakazi wa kawaida idara ya uhasibu tena kwa elimu ya astashahada, kashinda ubunge na since then anapambana na ubunge sijui hata huo Udaktari aliupata vipi, ngoja tunyamaze tu, navyomjua Chegeni nadhani alikuwa keshafanya bonge la sherehe pale kwao Mkula au nyumbani kwake pale jirani na Mashine ya mawe Kitangiri maana hizo ndo huwa zake anapopata nafasi ya uongozi.
Mkuu habari za huko Buduku.... nahisi una chuki binafsi na dk Chageni au basi ujuaji wa JF...
 
Hapo amedhalilishwa. Kwanza hakuomba hiyo nafasi, alitakiwa kuchunguzwa kabla ya kutangazwa.
 
Attachments

  • B51A96B5-D7BC-4862-8ABC-FD7EACABC9DB.jpeg
    B51A96B5-D7BC-4862-8ABC-FD7EACABC9DB.jpeg
    21.1 KB · Views: 6
Mkuu habari za huko Buduku.... nahisi una chuki binafsi na dk Chageni au basi ujuaji wa JF...
Ili inisaidie nini ndugu? naweka kumbukumbu sawa tu ili kuzuia upotoshaji wako, hakuna alofurahia kitendo alofanyiwa Chegeni.
 
Back
Top Bottom