pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Kaazi kweli, kuna kitu hakiko sawa mahali naapa! Kariba mpya ni muhimu kwa ustawi wa Taifa letu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile hovyo hovyo ya wakati ule bado ipo kazini.Siku chache baada ya Wakuu wa Mikoa wapya 9 kuteuliwa, Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Dkt. Raphael Masunga Chegeni
Amemteua Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, na ataapishwa na Wateule wengine kesho (Agosti 01, 2022)
Kabla ya uteuzi wa Rais, Meja Jenerali Mzee alikuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP)
View attachment 2310242
View attachment 2310215
Hana huo ubavu wa kuukataa ukuu wa mkoa, huna unachokifahamu kumhusu Chegeni, hiyo Isamilo lodge yenyewe mkopo umemkalia kooni na ka sio JPM ilikuwa inapigwa mnada, hao watoto walokuwa kwa hizo abroad financial institutions ni wapi? Wataje, hiyo exposure ya nje ya nchi Chegeni kaipata lini?Chegeni huyu ninayemjua kaomba mwenyewe kutenguliwa, pesa anazo si za nawazo ..Isamilo Hotel ya jijini Mwanza, Majumba ya kutosha Dar, Dodoma, Mwanza nk...watoto wake wote wapo kwenye Financial institutions kubwa Dubai, Austraria na USA, mke wake.....niishie hapa nisije jichoresha Bure nyuma ya I'd feki! Kifupi jamaa pesa ipo, kwenye siasa Kawa mbuge wa Busega kuanzia kwa Mkapa hadi awamu ya tano alipoondelewa na yule dk wa mifugo....Kisha kuingia tena na baadae Jiwe akamuweka pembeni pamoja na kuongoza kura za maoni!
Kichwani jamaa yupo vizuri, exposure ya nchi za wenzetu pia SI haba...huyu kumpa ukuu wa Mkoa ni sawa na kumuweka kundi la akina Sendeka wachumia tumbo!
Tengua ya Leo ngoja tusubiri ufafanuzi vinginevyo rais wetu kazungukwa na mafisi kundi la watu wa ovyo kuwahi kutokea!
Unataka kusema nini?Hana huo ubavu wa kuukataa ukuu wa mkoa, huna unachokifahamu kumhusu Chegeni, hiyo Isamilo lodge yenyewe mkopo umemkalia kooni na ka sio JPM ilikuwa inapigwa mnada, hao watoto walokuwa kwa hizo abroad financial institutions ni wapi? wataje, hiyo exposure ya nje ya nchi Chegeni kaipata lini? katoka GGM baada ya kifo cha alokuwa mbunge wa Busega Ernest mwaka 2002 nadhani akiwa mfanyakazi wa kawaida idara ya uhasibu tena kwa elimu ya astashahada, kashinda ubunge na since then anapambana na ubunge sijui hata huo Udaktari aliupata vipi, ngoja tunyamaze tu, navyomjua Chegeni nadhani alikuwa keshafanya bonge la sherehe pale kwao Mkula au nyumbani kwake pale jirani na Mashine ya mawe Kitangiri maana hizo ndo huwa zake anapopata nafasi ya uongozi.
Hujaona mzawa na Phd holder ananyanyaswa na secretary?Hana huo ubavu wa kuukataa ukuu wa mkoa, huna unachokifahamu kumhusu Chegeni, hiyo Isamilo lodge yenyewe mkopo umemkalia kooni na ka sio JPM ilikuwa inapigwa mnada, hao watoto walokuwa kwa hizo abroad financial institutions ni wapi? wataje, hiyo exposure ya nje ya nchi Chegeni kaipata lini? katoka GGM baada ya kifo cha alokuwa mbunge wa Busega Ernest mwaka 2002 nadhani akiwa mfanyakazi wa kawaida idara ya uhasibu tena kwa elimu ya astashahada, kashinda ubunge na since then anapambana na ubunge sijui hata huo Udaktari aliupata vipi, ngoja tunyamaze tu, navyomjua Chegeni nadhani alikuwa keshafanya bonge la sherehe pale kwao Mkula au nyumbani kwake pale jirani na Mashine ya mawe Kitangiri maana hizo ndo huwa zake anapopata nafasi ya uongozi.
Sio poa alivyofanyiwa.Hujaona mzawa na Phd holder ananyanyaswa na secretary?
Sio ninataka kusema nini, nimesema hana ubavu wa kuukataa uteuzi tena wa ukuu wa mkoa.Unataka kusema nini ?
Katiba mpya inshitajika haraka na Rais anatakiwa awe na Phd, wabunge wawe na masters, madiwani kidato cha sita na wenyeviti wa serikali za vijiji kidato cha nne.Sio poa alivyofanyiwa.
Je secretary na Phd hapo umeona nini?Sio ninataka kusema nini, nimesema hana ubavu wa kuukataa uteuzi tena wa ukuu wa mkoa.
Swali gani hili? Hauna ubongo?Sasa huyo wa kagera karejea JKT ama kasitaafu ?
Mkuu habari za huko Buduku.... nahisi una chuki binafsi na dk Chageni au basi ujuaji wa JF...Hana huo ubavu wa kuukataa ukuu wa mkoa, huna unachokifahamu kumhusu Chegeni, hiyo Isamilo lodge yenyewe mkopo umemkalia kooni na ka sio JPM ilikuwa inapigwa mnada, hao watoto walokuwa kwa hizo abroad financial institutions ni wapi? wataje, hiyo exposure ya nje ya nchi Chegeni kaipata lini? katoka GGM baada ya kifo cha alokuwa mbunge wa Busega Ernest mwaka 2002 nadhani akiwa mfanyakazi wa kawaida idara ya uhasibu tena kwa elimu ya astashahada, kashinda ubunge na since then anapambana na ubunge sijui hata huo Udaktari aliupata vipi, ngoja tunyamaze tu, navyomjua Chegeni nadhani alikuwa keshafanya bonge la sherehe pale kwao Mkula au nyumbani kwake pale jirani na Mashine ya mawe Kitangiri maana hizo ndo huwa zake anapopata nafasi ya uongozi.
Hapo amedhalilishwa. Kwanza hakuomba hiyo nafasi, alitakiwa kuchunguzwa kabla ya kutangazwa.Hana huo ubavu wa kuukataa ukuu wa mkoa, huna unachokifahamu kumhusu Chegeni, hiyo Isamilo lodge yenyewe mkopo umemkalia kooni na ka sio JPM ilikuwa inapigwa mnada, hao watoto walokuwa kwa hizo abroad financial institutions ni wapi? wataje, hiyo exposure ya nje ya nchi Chegeni kaipata lini? katoka GGM baada ya kifo cha alokuwa mbunge wa Busega Ernest mwaka 2002 nadhani akiwa mfanyakazi wa kawaida idara ya uhasibu tena kwa elimu ya astashahada, kashinda ubunge na since then anapambana na ubunge sijui hata huo Udaktari aliupata vipi, ngoja tunyamaze tu, navyomjua Chegeni nadhani alikuwa keshafanya bonge la sherehe pale kwao Mkula au nyumbani kwake pale jirani na Mashine ya mawe Kitangiri maana hizo ndo huwa zake anapopata nafasi ya uongozi.
Hii ni reasoning ya ovyo kabisa kuwahi kuisikia.Dkt. Raphael Chegeni ni Mtanganyika na msomi mzuri anadhalilishwa na Mzanzibari. Tunasema tunahitaji Muungano. Kuna mahali tumekosea au tumelongwa.
Hii ni reasoning ya ovyo kabisa kuwahi kuisikia
Ni kweli, sio sawa kabisa, nadhani itakuwa amepangiwa kazi nyingine.Hapo amedhalilishwa. Kwanza hakuomba hiyo nafasi, alitakiwa kuchunguzwa kabla ya kutangazwa.
Ili inisaidie nini ndugu? naweka kumbukumbu sawa tu ili kuzuia upotoshaji wako, hakuna alofurahia kitendo alofanyiwa Chegeni.Mkuu habari za huko Buduku.... nahisi una chuki binafsi na dk Chageni au basi ujuaji wa JF...