Rais Samia atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Dkt. Raphael Chegeni

Hiz mambo za teuzi huwa zinakuwa na stress balaa
 
Hiyo ni dalili ya taasisi ya urais kufanya kazi kienyeji. Ni kipi kilimfanya akamteua, kisha ndani ya siku 2 abatilishe? Kuna watu wanasema taasisi ya urais iko makini, lakini kiukweli ni taasisi chache mno za serikali ziko makini, na huo ni mfano halisi wa udhaifu huo.
 
Mpaka Sasa Wakuu wa Mikoa Ambao Ni Wanajeshi Ni:
1. Kanali Laban Thomas- Ruvuma
2. Kanali Ahmed Abas -Mtwara
3. MJ Suleiman - Mara

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Balaa hili. Huyu kamishina wa magereza kapata demotion ta kufa mtu. Tuliambiwa ni mchapa kazi .Imekuwaje tena ?Chegeni nae nani kamchongea ?Dunia hii ving'ast wamejaa tele. Hapo baba wa watu kishashona suti. ***** 😂
Sidhani kama kamishina ameboronga bali ni mama anataka kuweka mstari sawa, ilikuwa ni kosa na ubabe wa kijinga kuwapelekea magereza kiongozi kutoka JW
 
Umeongea kama mh. Mpina.
 
nawashangaa wanao shangaa Rais kufanya mabadiliko...hilo ni jambo la kawaida kabisaaa na siajabu hata kesho trh 1 Siku ya kuapishwa wapo watakao tenguliwa.
 
Nadhani kuna tatizo katika jambo lenyewe la uteuzi.

Hii siyo kawaida hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…