Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mkuu ndio michezo yao. Hata Sabaya alikuwa akiwafanyia hivyo hivyo.Kwamba huyo Pauline aliamuru kijana awekewe chupa matakoni? Kwamba huyo Gekul nae ni muumini wa ufiraji na ukatili, yaani katika adhabu zote akaona hiyo ndio inafaa kijana kupewa? Iwe tuhuma au kweli, hatakiwi kuwa waziri na hapa ndipo katiba inatakiwa kuangaliwa tena, hafai hata huo ubunge. Nasema iwe tuhuma au iwe imethibitika.
Nadhani hapa ndipo majukumu ya Waziri wetu Mh Dkt. Gwajima D yanaingia, atusaidie ni jinsi gani wizara yake wanashughulika na case kama hii inayomuhusu kiongozi wa Umma na haswa mwenye ngazi ya Juu kama Waziri, na hapo ndipo tutafahamu kama kuna double standards katika kushughulikia masuala ya ukatili au sheria zinahusu watu wote bila kujali status ya mtu, matukio kama haya hayakuanza leo lakini mara nyingi sheria zimeonekana kuwalinda wakubwa haswa wenye vyeo au pesa.Mawakili wapandanie haki ya huyo kijana alipwe stahiki zake za kudhalilishwa na akishindwa kulipia tutachangia apate haki yake
Inauma sana watu kama hawa kuwa na ukatili huu tena kiongozi upande wa sheria
Afunguliwe mashtaka na apate hukumu yake
Mimi naona RPC angejiongeza kabla ya kupewa ki memoNadhani hapa ndipo majukumu ya Waziri wetu Mh Dkt. Gwajima D yanaingia, atusaidie ni jinsi gani wizara yake wanashughulika na case kama hii inayomuhusu kiongozi wa Umma na haswa mwenye ngazi ya Juu kama Waziri,
Samaki mkunje a angali mbichi.Amejifunzia huko......ukatiri walifundishwa na yule
JF na Twitter ziko acknowledged sana tu.Kweli JamiiForums inasomwa hadi Ikulu.
Hii taarifa ya Gekul kufanya Ukatili ililetwa humu Jana tu
Kudos founder wa huu Mtandao 🫡
Mwanaume hawez kubakwa Juzi judge mmoja wa Mahakama ya Rufaa katoa tafsiri hiyoUnamfanisha na mbwa? Mbwa watakupeleka kortini. Mbwa wana akili kuliko huyo. Tunasubiri afikishwe kwenye vyombo vya sheria kwa kosa la ubakaji. Unabakaji kosa lake ni miaka 30.
Weka hadharani awajibike au awajibishwe.Nikweli mkuu ipo klipu fulani,sema Acha yapite
Kuna yule waziri alimsababishia mauti Binti wa udom Bado hajatumbuliwaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Pauline Philipo Gekul.
View attachment 2824966
Saa chache zilizopita, Pauline Gekul ambaye ni Mbunge wa Babati Mjini alituhumiwa kumfanyia unyanyasaji mfanyakazi wake ambapo inadaiwa akishirikiana na watu wengine walimdhuru mwili na kumuingiza chupa sehemu ya haja kubwa.
Zaidi soma,
Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili Mtoto
Pauline Gekul ajibu tuhuma za kumdhuru na kumdhalilisha kijana
Wakati makundi mbalimbali yakimjia juu Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Pauline Gekul kwa madai ya udhalilishaji, mwanasiasa huyo kupitia katibu wa ofisi yake, ametoa ufafanuzi akigusia madai ya kuwapo imani za kishirikiana na ushindani wa kibiashara. Ufafanuzi huo awali ulitolewa na Hussein...www.jamiiforums.com
Una akili fupi ........Safi, Hapa namkubali Samia, Ingekuwa kipindi cha yule egomaniac psychopath angempndisha cheo na kumfanya waziri kamili, huku akijivunia kuwa SIPANGIWI