Angalikuwa mvaa hijab huyu mbunge. Mjadala ungalikuaje humu jf? Mpaka madrasa aliosoma ingalitafutwa? Swali tu.Nae apewe chupa konyagi kubwa
Au nakosea wadau?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalikuwa mvaa hijab huyu mbunge. Mjadala ungalikuaje humu jf? Mpaka madrasa aliosoma ingalitafutwa? Swali tu.Nae apewe chupa konyagi kubwa
Kuwa na heshima kidogo. Hiyo hali ya Umauti na ww utaipitia kaa kwa kutulia epuka sifa za kijingaHuyu aliletwa na yule mfu?
Ndiyo niliona habari. Jopo la majaji watatu. Hii nadhani ni sheria ya kiingereza na nadhani ina upungufu mkubwa wa kupambana na makosa ya ubakaji kwa dunia ya leo. USA siyo hivyo. Wao rape inajumuisha pamoja na mtu kuingiza ''object'' yoyote kwenye uke au sehemu ya haja kubwa. Sheria yao inasema “The penetration, no matter how slight, of the vagina or anus with any body part or object, or oral penetration by a sex organ of another person, without the consent of the victim.”Mwanaume hawez kubakwa Juzi judge mmoja wa Mahakama ya Rufaa katoa tafsiri hiyo
Kwa hio ushauri wako ni upi ? Mana unaonekana hutaki apelekwe mahakamaniMimi naomba niwe tofauti kidogo.
Kwanza sijafurahishwa na kilichotokea natoa pole kwa kijana.
Pili sina imani na mahakama, kutenguliwa imetumika kupoza upepo tu at the end of the day kama atapelekwa mahakamani " it will be a walk in the park"
Sina imani na mahakama za Tanzania hata kidogo achilia mbali polisi maana hapo ingekuwa mpinzani hapo nyumba ingekuwa ishazingirwa na kulazwa mahabusu, ila huyu katolewa kofia tu ya unaibu waziri.
Kwa matendo waliyofanya Makonda na Sabaya ni zaidi ya hili je hampo nao huko mtaani?
Wakongo wanasema Ngai Te!( mimi hapana! )
Hiyo hali wala siiogopi anytime...Kwa kuwa naishi na binadamu wenzangu vizuriKuwa na heshima kidogo. Hiyo hali ya Umauti na ww utaipitia kaa kwa kutulia epuka sifa za kijinga
JF na Twitter ziko acknowledgedKweli JamiiForums inasomwa hadi Ikulu.
Hii taarifa ya Gekul kufanya Ukatili ililetwa humu Jana tu
Kudos founder wa huu Mtandao 🫡
Soma tena vizuri nilichoandika utapata jibu.Kwa hio ushauri wako ni upi ? Mana unaonekana hutaki apelekwe mahakamani
Mimi ni baba yako wa kambo. Muulize mama yako atakupa habari zangu. Kuwa na adabu kwa hawara wa mama yako.Naomba utambulisho wako kwanza kama hutojali. Hivi wewe ni lishangingi /lishankupe nani pale Lumumba? Mpaka ulimshauri!!
Ameshashangazwa. Hadi Rais mwelewa kama Mama Samia anakutumbua ina maana wewe umeshindikana. Na Rais akishakukataa kuna watu lazima wakuoshee kuonyesha kuwa wako kazini. Hapo DPP, Polisi na mahakama lazima wampe kitu inauma.Pauline hasimuliwi vizuri hata na watumishi wa Wizara aliyokuwepo na hata kule Wizara ya Uvuvi na Mifugo
Ni mtu wa mihemuko na ushamba wa madaraka
Kweli hatakiwi kupangiwa, anaweza hata kuteua majambazi kwenye serikali yake na ukimpangia umekwisha...Ila Mungu fundiWewe mpuuzi tu! Unadhani Rais anapaswa kupangiwa cha kufanya? Sasa maamuzi ya Samia unataka kulinganisha na wengine!
Kwa hiyo kijana akiwa wa hovyo dawa yake ni kumuingizia chupa tunduni...Gekul ameonewa. Vijana wamekuwa wa hovyo sana siku hizi.
Kwani Mbowe ni mbunge?Naungana na wew ila kusema hata kwa tuhuma tu mtu hafai kuwa mbunge huo sasa utakuwa wendawazimu, leo watu wakizusha tuhuma juu ya Mbowe nae itabidi ajiuzulu bila kuthibitisha?
Kwamba huyo Pauline aliamuru kijana awekewe chupa matakoni? Kwamba huyo Gekul nae ni muumini wa ufiraji na ukatili, yaani katika adhabu zote akaona hiyo ndio inafaa kijana kupewa? Iwe tuhuma au kweli, hatakiwi kuwa waziri na hapa ndipo katiba inatakiwa kuangaliwa tena, hafai hata huo ubunge. Nasema iwe tuhuma au iwe imethibitika.
Ahh akijisikia kunipa anipe,uwezo ninao,yeye tu🙏Ww hutak teuzi..?
amesoma hadi masters bado