Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,901
- 3,941
Sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameongezewa muda wa kupambana zaidi.Yule mpiga zumari mwashamba hajalamba uteuzi kabisa.....
Si hamkusoma, sasa tutawasaidoaje? Somesheni vijana😁Mfumo Kristo ni shida nchi hii.
Kidato cha nne.Anaelimu gani?
Uteuzi huu ni rushwa au mchongo kwa 100%Huyu Mkuu mpy wa Wilaya ya Arumeru Emmanuela Mtatifikolo ni mtoto wa tajiri wa zamani wa mabus ya Igesa Line ofisi zao zipo Sinza Makaburini
Bonge la NakozShaka DC Kilosa
Absolutely Mkuu!Nafasi za kuteuliwa siyo za kutegemea kuendeshea maisha yako. Ndiyo maana kwa baadhi ya nchi, kapuku hapewi cheo cha kisiasa.
Cheo cha kisiasa, ni cheo cha heshima, siyo cha kufutia umaskini.
BadoPascal Mayalla amepata au bado?
Huo ni uongo, mume wake hajawahi kuwa mmiliki wa st.patrick, umechanganya mzee .Kidato cha nne.
Jina la kusomea kidato cha nne ni Dinnah Mosha, hapa Tumeuzwa kwa kuweka Jina la mumwe Mume . Mume wake ni mmiliki wa shule Za St. Patrick Arusha.
Hapa ni rushwa imetumika
Ikiwa una biff na RC ndio maana yakeWakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka. Sikusema nitawabadilisha leo au kesho, kwahiyo kama hamfanyi kazi hao ndiyo wangu.”
“Kutoa mkeka ni kazi yangu na nitautoa wakati muafaka, wakuu wa mkoa nataka ripoti za wakuu wenu wa wilaya.”
Mayalla maana yake ni njaaMwamba ana gunduu, akaombe kibali chake kupitia kanisa. Kuna watu wanatumia kibali chake kuishi vizuri.
Jaffar haniu atakuwa ni bonge ya Kilaza,kutoka kuwa mkurugenzi wa Ikulu mawasiliano, kuwa ikulu tena sijui nani,hadi kuwa mkuu wa wilaya.Sema Uunguja unambeba sana.Apate wapi😂😂😂
Naona wenzake wanahabari wengi tu wamepata
-Felician Gasper Mtahengerwa
-Grace Henry Kingalame
-Jaffar Haniu
N.k