Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

Na safari hii pamoja na uchawa wote wamekupiga chini tena Jo[emoji23] pole
Mimi nakula pensheni

Nilikuambia wakati Freeman akiwa Security guard pale BoT mimi nilikuwa namuona nikiwa nagonga bia ya crown pale Kilimanjaro hotel

Wewe ulikuwa upareni unalima tangawizi nyakati hizo

Karibu nyumbani Tundu Lisu!
 
Hizo nafasi za Presidential appointee sio za kujibweteka.

Muhimu ukiteuliwa ni kupambana kutafuta mitaji tu na kujiwekeza, maana muda wowote aliyekuteua anaweza kukutengua...
Nafasi za kuteuliwa siyo za kutegemea kuendeshea maisha yako. Ndiyo maana kwa baadhi ya nchi, kapuku hapewi cheo cha kisiasa.

Cheo cha kisiasa, ni cheo cha heshima, siyo cha kufutia umaskini.
 
Back
Top Bottom