Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

Tunakumbushana tu hawa ni Makamanda waliotengezwa Ufipa st lakini wanazidi kuupiga mwingi Siku hadi Siku

Mungu ni mwema wakati wote
 
Na Victoria Mwanziva kutoka idara ya uhamasishaji chipukizi UVCCM makao makuu kwenda kua Mkuu wa Wilaya naona ni demotion kubwa,alikua anapata exposure sana but hii naona ni kutupwa benchi na Unaibu UVCCM akakosa.
Unavunjwa nguvu
 
Beno Malisa!!! Upo hapo Erythrocyte

20. Beno Morris Malisa – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya
Lakini huyu sio G.J.Malisa wa Familia ya Gifted Heart,inayosaidia kuwarudishia tabasamu watu wenye shida mbalimbali,wasio na uwezo kwa kuamasisha walionacho kuchangia kutatua changamoto za wahitaji.
 
Back
Top Bottom