Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

Ina maana Namba ya simu ya vodacom ya Lukas Mwashambwa hawakuiona ?
Hivi kwanini humu JF watu mna dharau sana???
Sasa jamaa yetu kukosa Uteuzi nyie Mnaumia Nini??? Maana nafasi zenyewe hizo ni Chache na Wenye Sifa ni wengi.Tuwaombee majukumu mema wale wote wateuliwa.
 
Jaffar haniu atakuwa ni bonge ya Kilaza,kutoka kuwa mkurugenzi wa Ikulu mawasiliano, kuwa ikulu tena sijui nani,hadi kuwa mkuu wa wilaya.Sema Uunguja unambeba sana.
Hujaona hata kule Zanzibar polisi wamewakataa wengi sababu ya Elimu ndogo?
 
Kwanini Shaka awe DC bara? nani mbara DC kule Zanzibar?
 
Ninauliza tu. Mkurugenzi hawezi kufanya kazi za mkuu wa wilaya. Maana hawa nao ni mzigo tuliobebeshwa na hii katiba tuliyo nayo. Ukichukua jumla ya mishahara yao na marupurupu mengine kwa mwezi tunaweza kujenga shule au kununulia shule nyingi tu madawati na kuodokana na hii aibu ya watoto kukaa chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…