Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

Vipi mkeka wa wakurugenzi mbona mama hautoi,nilifuatilia sana ziara ya waziri mkuu hapa majuzi kule mkoani Rukwa,na hususani manispaa ya Sumbawanga,madudu aliyofanya mkurugenzi wa manispaa ya Sumbawanga kadiri nilivyomsikia waziri mkuu na nilicho kiona,pale manispaa ya Sumbawanga hakuna mkurugenzi pale na kama Mama atamuacha yule bwana wanasema anaitwa Mtalitinya J.kama sijakosea basi CCM iendelee kuwatengenezea agenda wapinzani nadhani mikutano ya kisiasa imesha ruhusiwa.Yule bwana ni wa kufuta kabisa labda kama waziri mkuu alikuwa anafanya maigizo kwa aliyoyaona pale sumbawanga manispaa.
 
Hivi ndio vipaumbele vya ccm. Kugawa vyeo chawa wasife njaa.
 
Kumekuwa na malalamiko kuwa Rais akiwa Mkristo basi teuzi zake zinaegemea kwa Wakristo, na akiwa Muislam basi teuzi zake zinaegemea kwa Waislamu

Samia kafanya teuzi za wakuu wapya wa Wilaya 37 leo ambayo majina karibu yote ni ya Wakristo, actually majina 6 tu ndio ya Kiislamu

Je Samia kuteua Wakristo karibia wote ni kuwa anaogopa kuitwa Mdini au ndivyo ilivyo?


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…