Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
JESHI LA POLICE mtakuwa na mafaili mabaya ndio maana hatuwaoni humu kwenye mikeka laini kama hiiRais Samia Suluhu Hassan ameteua wakuu wapya wa wilaya 37, kuwahamisha vituo vya kazi 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao...
Ha haa. Ningekuwa baba mkuu wa wilaya.Vipi,uliachana na mambo ya Chama halafu walioendelea umewaona mkekani?
Korogwe sio mbali.Tobaaaaaah shougaaa angu hayupo tena kwa list, uwiiiiih yeye atalamba asali lini? Mmmmh
Ila mlongo angu Kidoti kupelekwa Korogwe sijapendaaa, yulee ni wa kubaki hapa town au maeneo ya karibu aaaah.
Katupwa IrambaCheki bob Nassari sijamuona kwenye mkeka
Amepelekwa akalee lwa utulivu, mjini hapa vuruguTobaaaaaah shougaaa angu hayupo tena kwa list, uwiiiiih yeye atalamba asali lini? Mmmmh
Ila mlongo angu Kidoti kupelekwa Korogwe sijapendaaa, yulee ni wa kubaki hapa town au maeneo ya karibu aaaah.
Hivi kwanini wazenji wanateuliwa katika taasisi zisizo za muungano?Shaka DC Kilosa
Goodluck Mlinga amekula shavu.....Rais Samia Suluhu Hassan ameteua wakuu wapya wa wilaya 37, kuwahamisha vituo vya kazi 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao...
Hata km bhanaa, si angepelekwa hata Bagamoyoo.Korogwe sio mbali.
Kwa kweli amepelekwa akalee kwa weledi. Mjini mambo ni vururuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amepelekwa akalee lwa utulivu, mjini hapa vurugu
Amepelekwa BahiGondwe mbon cjamuon au n mimi n mawenge yangu
Jane Nyamsenda?Jamani Jane... Mungu angekuwa anatupa macho ya kuona ya mbeleni, nisingechezea fursa πππ.
Katupwa BahiGondwe mbon cjamuon au n mimi n mawenge yangu