Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

Hizo nafasi za Presidential appointee sio za kujibweteka.

Muhimu ukiteuliwa ni kupambana kutafuta mitaji tu na kujiwekeza, maana muda wowote aliyekuteua anaweza kukutengua.

Kwa nafasi zao ni rahisi kuingia Benki na kukopa up to 150M, ambayo Kwa sisi wajasiriamali ukiingiza kwenye uwekezaji ni rahisi Kuvuna up to 5M Net Profit 💪.

Hongera kwa wote walioteuliwa 👏👏

Ingawa naona Barua haijataja siku ya kuapishwa kwao na Muhusika wa kuwaapisha, otherwise labda wataapishwa na Wakuu wao wa Mikoa.
 
Back
Top Bottom