Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

CCM ya sasa hawajali hilo, maDED wengi wametoka UVCCM
Nazungumzia uzoefu wa kazi zile, Paskali ni kama raia watu kama hao wakipewa kazi za kiutumishi wa vile wanaanza kujifunzia kazini wakati ilibidi wawe na uzoefu wamepitia ngazi za chini kisha wakapanda vyeo au kuhamia majukumu mengine kiserikali. Unakuwaje executive wa kitu hujawahi fanya wala kufundisha, hata makampuni hayachagui executives wasio na uelewa na nafasi zao.

Yeye anafaa teuzi za uongozi kisiasa, sio utendaji. Ukuu wa mkoa au wilaya anafaa
 
Back
Top Bottom