Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

Na Victoria Mwanziva kutoka idara ya uhamasishaji chipukizi UVCCM makao makuu kwenda kua Mkuu wa Wilaya naona ni demotion kubwa,alikua anapata exposure sana but hii naona ni kutupwa benchi na Unaibu UVCCM akakosa.
 
Duh sasa Jokate analea halafu anapelekewa Korogwe.... ha ha mzee vunjabei sasa safari za korogwe zitakuwa nyingi..[emoji4][emoji4]
Uzuri ni kwamba atafanya korogwe iwe kwenye trend kama kisarawe subiri mtaona
 
Back
Top Bottom