Rais Samia ateuliwa kuwa mgombea wa Uenyekiti wa CCM

Kwa nini majina yatolewe siku ya mwisho kabisa kabla ya uchaguzi tens jioni? Vipi kuhusu yule ambaye ameteuliwa na hawezi kufika kutokana na umbali, haki itakuwa imetendeka?
 
Safi sana Rais Samia Suluhu hana mpinzani aendelee kupeperusha bendera
 
Sasa mkutano mkuu wa nini tena? Misuse of resources
 
Rais Samia Suluhu hana mpinzani kazi iendelee
 
Ccm nyinyi ni mazuzu tuuu

Anagombania na nani hicho Kitii

Acheni kutuona mazuzu nyie
 
Hakika mama ameikamata nchi, anakubalika ,anapendwa, na Sasa anakisuka chama akiyaondoa magugu na kuweka ngano.

Viva mama viva.
Hatujamaliza CCM .... Mlete Samia....Mlete Samia.....Mlete Samia
Rais Samia Suluhu tunae mpaka 2030 hii haina mpinzani
 
Rais Samia Suluhu mpaka 2030 hili halina wa kupinga maana kazi yake tumeiona
 
Kama Kawa CCM ndio kawaida yao , wanaogopa ushindani kuanzia ndani ya chama hadi nje , HAMNA JIPYA HAPO
 
CCM haina mvuto ukizingatia sasa wazanzbar walio wachache ndo wapo kwenye sehemu nyeti.Upinzani wangekuwa makini wangekuwa popular sana. Sema nao hawaeleweki.Eti Dr Samia. 🤣
Unataka imvute nani zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…