Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Sasa wanaufurahia,maana msaada ukitoka wanapata pasu sawa na Tanganyika. Hivi yaani why Zanzibar isiendelee jamani?Kama wanapata gawiwo sawa na bara kwenye population mara 12 zaidi.Mtazoea tuu ! Hata wao pia waliulalamikia sana muungano huu lakini sasa wameuzoea sasa hawalalamiki tena !! 😅😂